halafu mashine 6cylinderKweli mkuu hapo ndio ukute kanywa pombe, anaendesha kwa speed,alafua anataka kupima oil.
Kwamba mimi, wewe na kila mtu tutakufa..its a matter of time tu.Pamoja na kifo chake,tuliobaki tunajifunza nini...???
Sijui ni utoto au ulimbukeni [emoji16] ..hawajafiwa hao.Unafiki mtupu. Hakuna mtu aliyeguswa anayekumbuka kupiga screenshots za msg, voice notes, picha zake na marehemu Kuweka online ili iweje.
Teh teh hii ndio jf long live it..Nasikia ni Kelvin Kaloosh
mtu wa kawaida..Ni nani.......?......
Mchizi tu km mnAlikuwa nani hapa town?
R.I.P.
Masaa machache kabla ya ajali unamaanisha alikuwa na huyu mwanamke? Inabidi atafutwe kusaidia upeleleziView attachment 320380
Hapa akiwa na Jimmy, yule dogo wa kishua aliyepata ajali maeneo ya mbezi beach mwaka ulioisha
View attachment 320381
Masaa machache kabla y ajali
Vunja mifupa ungali kijanaa!!Pamoja na kifo chake,tuliobaki tunajifunza nini...???
Hakuna hata anaejua marehemu alikuwa nani hapa mjini??
Au ni mawaziri wapya wa JPM?
Duh we jamaaNimesikitika sana kijana Mdogo kuondoka kwa style hiyo ila ningesikitika zaid kama uchizi,Misifa na Mipombe yake ingekwenda kumaliza maisha ya Wengine wanaofata sheria za Barabarani. Ifike hatua ajali za Walevi ziue walevi kama vile Ngoma ingekuwa inasambaratisha vicheche tu! Mkeo/Mumeo unamuacha unaenda kuparamiwa/a then unaleta ugonjwa home mnaondoka wote mnaacha watoto wanakuja kuteseka na kuishia kutombwa au kufilwa na wahuni
Tafsida mkuu [emoji12] !Nimesikitika sana kijana Mdogo kuondoka kwa style hiyo ila ningesikitika zaid kama uchizi,Misifa na Mipombe yake ingekwenda kumaliza maisha ya Wengine wanaofata sheria za Barabarani. Ifike hatua ajali za Walevi ziue walevi kama vile Ngoma ingekuwa inasambaratisha vicheche tu! Mkeo/Mumeo unamuacha unaenda kuparamiwa/a then unaleta ugonjwa home mnaondoka wote mnaacha watoto wanakuja kuteseka na kuishia kutombwa au kufilwa na wahuni
Tafsida mkuu [emoji12] !
Yah lazima alikuwa anapiga P sana.Inawezekana alikuwa ni kipenzi cha walimbwende.