Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Alikuwa na demu wake nae yuko ICU, anajuana na mastar wengi ni kwa kuwa ni bataboy mtoto wa kishua, nilimuacha shule A - level ye na wenzake akina Arme Nando, Godzilla n.k na hiyo class yao imetoa vijana wasumbufu sana hapa town kwa bata
Na hiyo class yao pale Neema Trust mtihani wa form six walipata zero karibia wote.. Shule ilikuwa ya mwisho ya pili kutoka chini
 
Marais ni public figures, huyu ni marehemu sasa tena ameaga kwa ajali mbaya huoni kuna haja ya kupata ridhaa ya familia kabla ya kupost picha zake?

we vipi? mbona wamepost picha nzuri tu, wangepost ya ajali mtu kafumuka ubongo hapo nongwa!
 
12631566_1977938762432277_7925161554031596110_n.jpg


alikuwa tozzy!
rip.
 
Kkamaliza mwaka gani jamani, nilikuwa pale pia.
Sikuwa nae drs 1...Chuo chenyewe si unajua kwa kupiga panga (DISCO) sijui km alimaliza !!!..
Nahisi DL 1 ni kati ya 2013 au 2011........ nadhani alikuwa ni certificate
 
Ulevi noma wakuu!! R.I.P hakina tofauti na kifo cha bilioner Jimmy
 
Back
Top Bottom