Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Alikuwa Producer wa mziki? Mbongo Flavor? Promoter? Au Mfanyabiashara Design ya Kina Kinje,Abdul Zeze,Kanyau,Rumishael? Nini kilichomfanya ajulikane na kina masogange,kadinda,wolper,Young D?

Nataka nielewe.......kama Masogange naona imemgusa sana......insta hakufai kwa simanzi........
 
Normal speed sana akishapiga masanga ni speed istoshe wengi bdo hawana uzoefu wa kucontrol magari.....kwahiyo barabara gari ukiwa 140speed ucku ni risky sana cz kuna trafficlights nyingi....kuna jamaa yangu alipata ajali hpo saintpeters b4 gapco gari ikarukia upande wa pili kma anarudi twn wakti alikua anaenda mwenge.
mpka leo hayuko sawa familia ilimpeleka india bt still maumivu hayaishi ilikua 2013
Mkuu hii mambo ya magari hainaga kulewa, waeza kua mzima akaja mlevi akakubutua alooo, daaah RIP mshkaji wake mtoa thread
 
Sasa mkuu mimi nikifariki watakaoumia zaidi ni wazazi wangu na ndugu zangu wa karibu ila huyu mwenzetu msiba wake umewagusa zaidi warembo wa mjini. Si ndo kuyafaidi maisha kwenyewe huku?
daah we kweli sumu
 
Mkuu hii mambo ya magari hainaga kulewa, waeza kua mzima akaja mlevi akakubutua alooo, daaah RIP mshkaji wake mtoa thread

Hiyo hutokea ila mara chache sana .....ukiwa speed sana steering hukuvuta n gari huwa nyepesi kma mikono,miguu n macho hayana ushirikiano lazma upate ajali
 
Umeruhusiwa kuweka picha yake kwenye mitandao na familia yake? Sometimes unaweza kudhani unatoa habari lakini wanafamilia hawapendi au mbaya zaidi labda marehemu alikuwa hapendi kujiweka kwenye mitandao. Msinichukie nauliza tu.

picha za marais tu zinawekwa sembuse huyo...
 
Normal speed sana akishapiga masanga ni speed istoshe wengi bdo hawana uzoefu wa kucontrol magari.....kwahiyo barabara gari ukiwa 140speed ucku ni risky sana cz kuna trafficlights nyingi....kuna jamaa yangu alipata ajali hpo saintpeters b4 gapco gari ikarukia upande wa pili kma anarudi twn wakti alikua anaenda mwenge.
mpka leo hayuko sawa familia ilimpeleka india bt still maumivu hayaishi ilikua 2013
Speed 140KMPH unakua unaenda wapi kwa Dar es Salaam hiyo?
 
Back
Top Bottom