Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

View attachment 320380

Hapa akiwa na Jimmy, yule dogo wa kishua aliyepata ajali maeneo ya mbezi beach mwaka ulioisha

View attachment 320381

Masaa machache kabla y ajali
Hawa watoto wadogo sana bata ziliwazidi...jimmy kwa ajali mbaya nae hivyo hivyo..alikua anatokea kwenye starehe rhapsody alfajiri ..daaaah vijana jaman wanatia huruma...kwan ukinywa kawaida ukarud home mapema na speed normal kuna nn
 
Kaka nimesoma pale ni chuo cha kubana hatari kuna DISCO za kufa mtu lakini nilipapenda sana kutokana na kuwa na hali ya hewa safi sio huku Joto City !!! napafahamu vizuri mitaa ya Dochi, Sinza n.k
Sasa Dochi ndio home lakini huku chini darajani
 
Inaonekana marehemu (apumzike kwa amani) alikuwa ana uwezo wa kuingia bar akanunua bia za laki tatu ndo akawa celeb wa eneo lake la kujidai.

Nchi kubwa hii jamani. Kuna watu tunaishi huku Kilindoni, Mafia.
Aisee...mkuu nipo nyamisati hapa kesho navuka kuja mafia,ngoja niulizie hapa labda wanamjua huyo jamaa.
 
Mkuu @13megapixel shori wake ndo huyo insta anatumia SAYMARIAA!
 
Hawa watoto wadogo sana bata ziliwazidi...jimmy kwa ajali mbaya nae hivyo hivyo..alikua anatokea kwenye starehe rhapsody alfajiri ..daaaah vijana jaman wanatia huruma...kwan ukinywa kawaida ukarud home mapema na speed normal kuna nn

Normal speed sana akishapiga masanga ni speed istoshe wengi bdo hawana uzoefu wa kucontrol magari.....kwahiyo barabara gari ukiwa 140speed ucku ni risky sana cz kuna trafficlights nyingi....kuna jamaa yangu alipata ajali hpo saintpeters b4 gapco gari ikarukia upande wa pili kma anarudi twn wakti alikua anaenda mwenge.
mpka leo hayuko sawa familia ilimpeleka india bt still maumivu hayaishi ilikua 2013
 
Siku hizi pole zinatolewa online na watu wanalia huku wanajipiga selifie na Kuwekea captions zenye swagger kuonyesha wameguswa kweli smh
Hahahahaha na kabla hawajaanza kulia wanaji cream kabisa mapoda nini ili makunyanzi yao usoni yasionekane..unafki mtupu mtu ufiwe ukumbuke kujipaka lipstick!
 
Back
Top Bottom