Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Inaonekana marehemu (apumzike kwa amani) alikuwa ana uwezo wa kuingia bar akanunua bia za laki tatu ndo akawa celeb wa eneo lake la kujidai.

Nchi kubwa hii jamani. Kuna watu tunaishi huku Kilindoni, Mafia.
Si bora wewe wa kilindoni wengine tupo baleni huku.
 
Kweli mkuu hapo ndio ukute kanywa pombe, anaendesha kwa speed,alafua anataka kupima oil.
Mkuu Leo nauliza tena.. Wewe ndio chachu ombara wa fally ipupa?? Samahani lakini Kama nakubomoa... Napenda Mziki wa jamaa na jinsi anayoimba jina lako thus why nimeuliza.. Nasisitiza Samahani lakini.
 
Dah, me nikishapiga vitu speed yangu ni 60KPH... Mdogo mdogo mpaka home.
 
Mungu mwacheni aitwe Mungu yani mtu anaishi stress free mpaka kifo...unatoka kula bhata unapata ajali habari inaishia hapo
Wakati kuna wengine wanaugua na kuumwa sana huku hata hela ya matibabu au lishe vikiwa ni shida mpaka unakufa
Kaka kumbe jamaa tumesoma nae Chuo cha uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto lakini sikufahamiana nae
Its so sad
 
Mpaka hapa page ya 4 post ya 70 hakuna yeyote aliyeelezea vizuri kuwa marehemu ni nani na alikuwa na impact gani kiuchumi. Huko insta obviously sitegemei info ya kueleweka kutokana na nature ya watumiaji. Jf ya siku hizi ni jipu sugu linalopaswa kutumbuliwa kwa baruti walah. Anyway Mola akuweke unapostahili marehemu
ImageUploadedByJamiiForums1454243832.798634.jpg
 
Mkuu Leo nauliza tena.. Wewe ndio chachu ombara wa fally ipupa?? Samahani lakini Kama nakubomoa... Napenda Mziki wa jamaa na jinsi anayoimba jina lako thus why nimeuliza.. Nasisitiza Samahani lakini.
Ndio mimi mkuu papaaa Chachu Ombara,sema siku hizi siimbwi Magufuli kaziba mianya ya pesa.
 
Mpaka hapa page ya 4 post ya 70 hakuna yeyote aliyeelezea vizuri kuwa marehemu ni nani na alikuwa na impact gani kiuchumi. Huko insta obviously sitegemei info ya kueleweka kutokana na nature ya watumiaji. Jf ya siku hizi ni jipu sugu linalopaswa kutumbuliwa kwa baruti walah. Anyway Mola akuweke unapostahili marehemu
View attachment 320384
Hahahaha
Hakuna maelezo ya maana,kwa sbbu marehemu nae ni wale wale wauza sura wa mjini, ambao akila mihogo asubuhi picha insta,akila dagaa mchana picha insta,jioni akiwa kwenye kiwanja sijui cha wapi,picha insta,na alieitoa mada nae pia ni wa Insta!
 
Kaka kumbe jamaa tumesoma nae Chuo cha uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto lakini sikufahamiana nae
Its so sad
Bitoz unajua pale ndio nyumbani? Tukiwa wadogo wakati huo kikijulikana kama chuo cha ccm tulisoma vidudu pale
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Bitoz unajua pale ndio nyumbani? Tukiwa wadogo wakati huo kikijulikana kama chuo cha ccm tulisoma vidudu pale
Kaka nimesoma pale ni chuo cha kubana hatari kuna DISCO za kufa mtu lakini nilipapenda sana kutokana na kuwa na hali ya hewa safi sio huku Joto City !!! napafahamu vizuri mitaa ya Dochi, Sinza n.k
 
Back
Top Bottom