Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba hasa mabinti wauza sura wa mjini (Wadada wa mjini).

Binafsi nimesikitika maana marehemu nimesoma nae japo nilikuwa darasa moja mbele yake.

Mwendokasi unaua...
Usinywe pombe na kuendesha...
Usiendeshe huku ukituma sms...
Usiendeshe ukipapasa mwanamke mapaja...

RIP Kelvin Kaloosh

View attachment 320314View attachment 320322
Umeruhusiwa kuweka picha yake kwenye mitandao na familia yake? Sometimes unaweza kudhani unatoa habari lakini wanafamilia hawapendi au mbaya zaidi labda marehemu alikuwa hapendi kujiweka kwenye mitandao. Msinichukie nauliza tu.
 
RIP kijana na poleni wafiwa. Vijana tunapaswa kujifunza kuwa likikukuta janga la kuchukua uhai wako, kuna watu kibao watakaoathirika zaidi kwa wewe kuondoka kama mke, mme, wazazi, wadogo zako, nk ambao nao ndoto zao zitavurugika kwa kiasi kikubwa hivyo lolote tfanyalo angalia kwanza negative impact yake kwako na kwa wakutegemeao
 
Naona hapa Mapozi ndo pamechangamka.

Nimecheza sana Taarab usiku wa kuamkia leo na watoto wa Pwani. Nimeanza kuipenda Pwani kwa kweli.

Nikirudi tena nitakaribia huko Donge.
Kuwa makini watoto wa pwani wasije kukuvika cheni hilo guu la kushoto
 
Kuwa makini watoto wa pwani wasije kukuvika cheni hilo guu la kushoto

Nipo makini mkuu na huwa nalala na mfupa wa Nguruwe kama tahadhari.

Ila dada zao ni watamu asikwambie mtu. Miuno feni nilikuwa naisikia kwenye nyimbo na kusoma MMU ila huku ndo nimejionea mwenyewe.
 
Nimeona instagram wolper anamlilia yaonekana nae alikuwa sukari ya warembo
 
Wafiwa poleni saana.Kijana wenu amejiuwa mwenyewe.Muhimu ni kumuombea kwa Mweyezimungu amsamehewe makosa yake.Kifo chake bila ya kupepesa macho na ndimi zetu kiwe ni mawaidha kwa tuliobaki.Kusema RIP nakadhalika hakusaidii...tuwarudishe vijana wetu kwenye misingi ya dini....Masanja Mkandamizaji una mvuto kwa vijana....warudishe kwenye maadili ya dini...kama wewe ni msanii na upo kwenue kanisa kwa nini na wao wasiwe hivyo....???
 
Huko Instagram Kwa wauza sura wote mjini marehemu ndio ka make head line pia ana onekana kafariki akiwa na umri Mdogo sasa.nimefatilia huu uzi kuanzia mwanzo mpaka sasa hakuna anaye eleza marehemu alikuwa ana fanya shughuli gani na msiba uko wapi!tuna hitaji kumfahamu marehemu
 
Alikuwa na demu wake nae yuko ICU, anajuana na mastar wengi ni kwa kuwa ni bataboy mtoto wa kishua, nilimuacha shule A - level ye na wenzake akina Arme Nando, Godzilla n.k na hiyo class yao imetoa vijana wasumbufu sana hapa town kwa bata
 
so sad. heb nipe instagram username yake nkampe pole jamaa
 
Alikuwa na demu wake nae yuko ICU, anajuana na mastar wengi ni kwa kuwa ni bataboy mtoto wa kishua, nilimuacha shule A - level ye na wenzake akina Arme Nando, Godzilla n.k na hiyo class yao imetoa vijana wasumbufu sana hapa town kwa bata
Tuanzie hapa Alisoma wapi?
 
ImageUploadedByJamiiForums1454241187.651433.jpg


Hapa akiwa na Jimmy, yule dogo wa kishua aliyepata ajali maeneo ya mbezi beach mwaka ulioisha

ImageUploadedByJamiiForums1454241512.876670.jpg


Masaa machache kabla y ajali
 
View attachment 320380

Hapa akiwa na Jimmy, yule dogo wa kishua aliyepata ajali maeneo ya mbezi beach mwaka ulioisha

View attachment 320381

Masaa machache kabla y ajali
Mungu mwacheni aitwe Mungu yani mtu anaishi stress free mpaka kifo...unatoka kula bhata unapata ajali habari inaishia hapo
Wakati kuna wengine wanaugua na kuumwa sana huku hata hela ya matibabu au lishe vikiwa ni shida mpaka unakufa
 
Back
Top Bottom