Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Na mademu hao wauza sura anewaacha kina juma wataendelea kukamua ukiwa haupo ukiwa unakunywa ukaendesha gari jua ukifa wenzio watamtwaa mkeo gelofrendo nk nk zako we si umejikata kislesi...
 
Ati amaeyafurahia maisha? Hajafika hata 30's duuuh!! In short inawezekana alijisahau na totoz nyingi nini na nini biere basi tafrani

Sasa mkuu mimi nikifariki watakaoumia zaidi ni wazazi wangu na ndugu zangu wa karibu ila huyu mwenzetu msiba wake umewagusa zaidi warembo wa mjini. Si ndo kuyafaidi maisha kwenyewe huku?
 
Sasa mkuu mimi nikifariki watakaoumia zaidi ni wazazi wangu na ndugu zangu wa karibu ila huyu mwenzetu msiba wake umewagusa zaidi warembo wa mjini. Si ndo kuyafaidi maisha kwenyewe huku?
Duuh! Labda sijaelewa maana yako au umavjokimaanisha la sivyo utakuwa umemwaga sumu
 
VIJANA WANAPUKUTIKA KATIKA UMRI MDOGO SANA,HUKU NDO KWANZAA WANAANZA KUENJOY MAISHA.
KUNA LA KUJIFUNZA HAPA,HILO GARI INAONESHA NI MWENDOKASI NA LIKAMSHINDA AKAENDA KUIVAA NGUZO UBAVUNI.
 
Hiyo gari Nissan Teana ni tafsiri sahihi ya kile kitu wanaita "A road Beast" kila ukiingia barabarani inakushawishi kumaliza speedometer, madereva wa Dar es Salaam inabidi tujifunze kwamba hakuna barabara ya mwendo kasi hapo mjini. Hata kwa barabara za mikoani, usalama bado ni mdogo sana, tuendeshe kwa kufuata sheria za barabarani.
 
Inaonekana marehemu (apumzike kwa amani) alikuwa ana uwezo wa kuingia bar akanunua bia za laki tatu ndo akawa celeb wa eneo lake la kujidai.

Nchi kubwa hii jamani. Kuna watu tunaishi huku Kilindoni, Mafia.
hapo upo Mapozi, Ibiza au Dunguni? Karibu huku Donge...
 
Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba hasa mabinti wauza sura wa mjini (Wadada wa mjini).

Binafsi nimesikitika maana marehemu nimesoma nae japo nilikuwa darasa moja mbele yake.

Mwendokasi unaua...
Usinywe pombe na kuendesha...
Usiendeshe huku ukituma sms...
Usiendeshe ukipapasa mwanamke mapaja...

RIP Kelvin Kaloosh

View attachment 320314View attachment 320322
Sijawahi mwona Dar. Atakuwa mtu wa kawaida. Angekuwa maarufu ningemfahamu. RIP Mate wa mtoa post
 
hapo upo Mapozi, Ibiza au Dunguni? Karibu huku Donge...

Naona hapa Mapozi ndo pamechangamka.

Nimecheza sana Taarab usiku wa kuamkia leo na watoto wa Pwani. Nimeanza kuipenda Pwani kwa kweli.

Nikirudi tena nitakaribia huko Donge.
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom