Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Inaonekana marehemu alikuwa nyota sana.
Apumzike kwa amani.
 
Insta ndio habare e rip
As'salaaam alekyum.... Rudisha tu ile Avator yako Madam.. Achana na lile Popoma.. What makes Tom happy is not so to Jerry, binafsi nikiangalia sura yako najisikia raha moyoni... Yeye Kama haimbariki ni yeye tu. usikute huyo mwanamke wake anamiguu Kama kuni za nyongeza kweli thus why akamind... Wewe ni mrembo sana... MUZURI SANA.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachaaaa
 
Poleni wafiwa.
AJali Kelvin.png
 
marehemu inaonekana kaacha folen kwa dada zetu
 
Binafsi nimesikitika maana marehemu nimesoma nae japo nilikuwa darasa moja mbele yake.

Mwendokasi unaua...
Usinywe pombe na kuendesha...
Usiendeshe huku ukituma sms...
Usiendeshe ukipapasa mwanamke mapaja...
RIP. Ina maana alikuwa mwendo kasi, kanywa, anatuma sms, na kupapasa mapaja kwa wakati mmoja?
 
VIJANA WANAPUKUTIKA KATIKA UMRI MDOGO SANA,HUKU NDO KWANZAA WANAANZA KUENJOY MAISHA.
KUNA LA KUJIFUNZA HAPA,HILO GARI INAONESHA NI MWENDOKASI NA LIKAMSHINDA AKAENDA KUIVAA NGUZO UBAVUNI.
Mkuu mdogo wetu zake zilikua zometimia
 
Ajali haina kinga japo inapunguzwa makali na muda Kwa kuzingatia sheria na kanuni za barabarani poleni ndugu wafiwa
 
Back
Top Bottom