Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Huyo ni demu wake kitambo... Alikuwa nae kwenye hiyo ajari, yuko ICU sasa

Comrade Unaniaibisha Bhana. Hakuna AJARI Bali Ni AJALI. Watu Kama Nyie Wa " Eagle Wing House " Huwa HAMTAKIWI KUKOSEA KITU CHOCHOTE au HUKUPIKWA KISAWASAWA Kule Pwani?
 
Mmmhh basi wewe noma, ndio maana unapenda maruwani. Alishawahi nisaidia mali zangu zikarudi ndani ya siku tatu.Almanusura amfanye mtu kichaa ila nikamsamehe mwizi wangu.
Nimekufaham wewe ni nani? Ile scandal ilikuwa noma.
 
Lile eneo kutoka Stanbic mpaka njia ya kuingia Leaders litakuwa na tatizo, ajali nyingi za pale ni za usiku na lazima mtu afe
 
Kazi ya airbag nini wakuu na inaweza kuzuia ajali kwa asilimia ngapi?? Kwenye hilo gari lilikuwa na airbag?
airbag ina limit mkuu...kuna impact airbag haiwezi kukusaidia.
 
Nimesikitika sana kijana Mdogo kuondoka kwa style hiyo ila ningesikitika zaid kama uchizi,Misifa na Mipombe yake ingekwenda kumaliza maisha ya Wengine wanaofata sheria za Barabarani. Ifike hatua ajali za Walevi ziue walevi kama vile Ngoma ingekuwa inasambaratisha vicheche tu! Mkeo/Mumeo unamuacha unaenda kuparamiwa/a then unaleta ugonjwa home mnaondoka wote mnaacha watoto wanakuja kuteseka na kuishia kutombwa au kufilwa na wahuni
Huu ndio ukweli ambao inabidi tuukubali. Kila siku tunaambiana usiendeshe ukiwa umelewa,wengine tunakaa nao bar wakilewa ni wabishi sana na huwaambii kitu na magari yao. Kama mlevi angekuwa akipata ajali anakufa peke yake hata mimi nisingejali ila mara nyingi wanaua na wengine wasiohusika na pombe zake.
 
Lile eneo kutoka Stanbic mpaka njia ya kuingia Leaders litakuwa na tatizo, ajali nyingi za pale ni za usiku na lazima mtu afe

Kwahiyo Mkuu Wewe Kama Ndiyo KIONGOZI MKUU WA WAGANGA NA WALOZI WOTE NCHINI TANZANIA Unataka Kutuambia Nini Hapo? Nisaidie Mkuu Kwani Hata Mimi Hiyo Njia Huwa Napita Sana Nikiwa Na Baiskeli Yangu Ya Phoenix Tena Nikiwa Bati KUNAKOTUKUKA.
 
Na kuacha yatima na wajane
 
Kwahiyo Mkuu Wewe Kama Ndiyo KIONGOZI MKUU WA WAGANGA NA WALOZI WOTE NCHINI TANZANIA Unataka Kutuambia Nini Hapo? Nisaidie Mkuu Kwani Hata Mimi Hiyo Njia Huwa Napita Sana Nikiwa Na Baiskeli Yangu Ya Phoenix Tena Nikiwa Bati KUNAKOTUKUKA.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Video ipo ninayo.Imechukua tukio zima kuanzia gari inaanza kukosa mwelekeo hadi kugonga nguzo. Inatisha sana
 
Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba hasa mabinti wauza sura wa mjini (Wadada wa mjini).

Binafsi nimesikitika maana marehemu nimesoma nae japo nilikuwa darasa moja mbele yake.

RIP Kelvin Kaloosh

View attachment 320543
Gari baada ya kupata ajali (Eneo la Tukio)

View attachment 320544
Marehemu enzi za uhai wake
View attachment 320545
Majeruhi aliyekuwa na marehemu kwenye gari

Inaonekana MAJERUHI Kapata Maumivu Mengi Na Makubwa Maeneo Yake Ya " BONDE LA MKWAJUNI " Kwani Hapo Anaoneka Huko Juu Yupo Vizuri Na Hajaumia Sana. Wataalam WA KUPATA AJALI au MLIOPATA AJALI Kama Hizi Tusaidieni KUTUELIMISHA.
 
Lile eneo kutoka Stanbic mpaka njia ya kuingia Leaders litakuwa na tatizo, ajali nyingi za pale ni za usiku na lazima mtu afe
Wikiendi iliopita kabla ya hii mbele tu ya hapo kwenye kona ya kuingia Leaders club tumempoteza rafiki/ndugu yetu Eddy[RIP] gari yake[corolla] iligongwa na Subaru Imprezaa ikabonyea ikawa na U-shape, jamaa wa subaru kwa utaalam wangu alikuwa mwendo usiopungua 140kph!!!

Hili eneo ukitokea Selander pamenyooka sana na vijana wakishapiga vyombo usiku wanageuka akina Michael Schumacher ni shida. mshana jr inabidi tufungue thread ya Road Safety humu, vijana na #TeamSubaru #TeamAltezza #TeamMarkX wanateketea kweli kuanzia ijumaa usiku hadi jumapili alfajiri.
 
Sahihi RRONDO tuifungue hata sasa kwa njia hii tunaweza kuokoa nafsi si haba
Lakini wito wangu uko bado uko jeshi la police kitengo cha barabarani kutoa leseni kwa watu wasio na elimu ya umiliki utunzaji na utumiaji wa chombo cha moto
 
Back
Top Bottom