Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Leo masistaduu hapa kwenye kijiwe Chetu Cha kahawa habari ndio hiyo Jana ilikuwa jumapili hivyo hutakuona na hawa wauza sura hapa kijiweni kwetu.me clip nisha ipata vp ume ipata ?
Nimeipata aisee hilo nalo litapita hapo kila mtu anaongea lake na kujifanya kumjua mno marehemu wakati msela yuko kwenye friji anaoza taratibu
 
Alikuwa Producer wa mziki? Mbongo Flavor? Promoter? Au Mfanyabiashara Design ya Kina Kinje,Abdul Zeze,Kanyau,Rumishael? Nini kilichomfanya ajulikane na kina masogange,kadinda,wolper,Young D?
Nafatilia huu uzi hata jamaa aliesoma nae hajafunguka inaonekana hawa maKINDA wamelithi hela za wazee wao hadi zinawaua....Manake angakuwa na kz yakueleweka tungeshajua humu......
 
RIP..Sad sana...It's the high time police waitilie mkazo sheria inayosimamia kuendesha gari ukiwa umelewa..
Lawama zingine kwa Polis mnawaonea....yaani Umeenda kulewa kwa raha zako usumbue watu
 
halafu mashine 6cylinder
cc3000
speed 120Km/h
mkono wa kushoto umepima oil na kukuta moto
kuna nguzo itabaki barabarani?
RIP Dogo
Nimecheka sana hii umeandika Kweli lazima namna hiyo lazima Nguzo za barabarani ziishe
 
Nafatilia huu uzi hata jamaa aliesoma nae hajafunguka inaonekana hawa maKINDA wamelithi hela za wazee wao hadi zinawaua....Manake angakuwa na kz yakueleweka tungeshajua humu......
Kaka enzi zetu watoto wote wa kishua tulikuwa tunajua wana Soma wapi ila hivi sasa ni vulugu mechi pia tulikuwa tuna Jua wana ishi wapi lakini hii Leo waziri anaishiii Kimara bonyokwa,Chanika ,Kongowe ,Kwa mtogole.kwa mujibu wa hawa wauza sura hapa nilipo ni kuwa msiba uko kinondoni pia ukiwa uliza marehemu alikuwa Ana jishughulisha na niniii hakuna jibu la maana.
 
dogo alikua dalali wa mademu wakali town, ndo maana wanamlilia sana, yaani ukimtaka sijui mbongo muvi gani anamkuletea, mpunga wako tu,
Angalau wewe unatupatia mwanga huyo kinda manake hapa mjini duh
 
Hahaha kifo hakina mwenyewe na hakuna anaye jua huyu jamaa alikumbwa na ajali kivipi
Life style yako kwa kiasi kikubwa ndio inapelekea Kifo chako....sio kitu chaajabu Askari kufa kwa kupigwa Risasi cz Bunduki ndio madude aliyokaribu nayo siku zote
 
Nafatilia huu uzi hata jamaa aliesoma nae hajafunguka inaonekana hawa maKINDA wamelithi hela za wazee wao hadi zinawaua....Manake angakuwa na kz yakueleweka tungeshajua humu......
Mkuu juzikati nlimsikiliza Adam mchomvu akihojiwa TBC akasema hawa madogo wanaokuta hela za Escrow na Raddar kabatini ndo hua wanajifanya bataboy ila washua wakipukutika nao ndo ntolee, ila sie wa kula kwa Tindo huez tumia kizembe na bata letu ni la mda mrefu coz displini inakwepo. Rip dogo
 
Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba hasa mabinti wauza sura wa mjini (Wadada wa mjini).

Binafsi nimesikitika maana marehemu nimesoma nae japo nilikuwa darasa moja mbele yake.

RIP Kelvin Kaloosh

View attachment 320543
Gari baada ya kupata ajali (Eneo la Tukio)

View attachment 320544
View attachment 320556
Marehemu enzi za uhai wake
View attachment 320545
Majeruhi aliyekuwa na marehemu kwenye gari
Nilijua lazima alikuwa na babeez/
pole mbabeez!
 
Ngoja nimsaidie kusema jingine.... Ukiwa Raphsody ni lazima uwe unakunywa pombe?
Mkuu saa kumi ucku unazan jamaa alitoka msikitini au, aaaaf ipo video ya punde kabla ya ajali jamaa alikua tungi mbaya kwa walioiona wasemavyo, pia ucku wote mbio za nini akat mzigo unao garini waeza paki hata stendi ukaula
 
Mkuu mi sijakataa kama alikuwa kalewa au la. Swali langu kwa huyo bingwa lilikuwa rahisi tu... Je ni wote wanaokuwa Raphsody wanakunywa pombe???
 
Mkuu mi sijakataa kama alikuwa kalewa au la. Swali langu kwa huyo bingwa lilikuwa rahisi tu... Je ni wote wanaokuwa Raphsody wanakunywa pombe???
Hapana mkuu c unajua sie kila anaeingia chooni aenda kunya mwingine anahesabu hela teh teh teh
 
Back
Top Bottom