Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Nilikuwa namaaunisha marehemu hakumaliza pale IJA sasa yy kwa kutaka kick kaja na hizo shombo ndo maana nimempotezea
Kumbe we mbulumundu kama sio ndezi. Unaweza nionesha shombo hapo?
 
Mmmmh! Hao vidosho woote uliowapanga humu jamvini kama Mfalme Mswati ntawezana nao kweli? Mie moyo wangu hauhimili vishindo😳
Sasa hebu kuwa muwazi.... tatizo ni vidosho au tatizo hujanipenda?
 
Kusema ukweli hilo la vidosho linatia woga. Kupenda, ni mapema sana ku-conclude sijakupenda. Ila inavyoelekea wewe unapendeka kirahisi 😉
 
Hebu jaribu kunipenda uone kama utakuja kujuta. Hilo la vidosho isiwe sababu bhana.... utani tu. Wewe ndo chaguo langu.

Hebu twende PM tukaongee kiutu uzima basi.
 
Jamani unajua kungangania wewe? Lol! Ngoja kwanza nirudie ule uzi wako wa "hepi besdei" nijikumbushe majina ya vidosho wako, maana naingia himaya la watu ati lazima nijue wenyeji wangu ni wa kina nani😉
 
Sasa ntaachaje kung'ang'ania chaguo langu. Ntapambana mpaka mwisho wa tone la damu.

Wewe umeumbwa kwa ajili yangu siwezi kujiruhusu kukupoteza hivihivi.

Bado niko PM nakusubiri
 
Wadau Hapa ni Eneo la wapi ilipotokea ajali? Ubalozi wa Kenya Upo wapi?
AJali Kelvin2.png
 
Sasa ntaachaje kung'ang'ania chaguo langu. Ntapambana mpaka mwisho wa tone la damu.

Wewe umeumbwa kwa ajili yangu siwezi kujiruhusu kukupoteza hivihivi.

Bado niko PM nakusubiri
Yaani hii ni ile tunasema "leo ninalo", haya nakuja nisubirie huko PM, maana na thread tumebaki wenyewe tu😛
 
Mbele ya ubalozi wa ufaransa kama unaelekea moroko hilo eneo ni kabla hujakatiza kwenda leaders club ukitokea mjini
Angalia tena vizuri besti: Hapo ni ukitokea sea view ndio unaface hilo bango la matangazo na hizo nyumba, kushoto ni kuelekea mjini na kulia ni kuelekea Salendar ambapo unaona kile kibanda cha polisi
 
Ok asante sikuwa makini na hizo alama
 
Hawa watoto wadogo sana bata ziliwazidi...jimmy kwa ajali mbaya nae hivyo hivyo..alikua anatokea kwenye starehe rhapsody alfajiri ..daaaah vijana jaman wanatia huruma...kwan ukinywa kawaida ukarud home mapema na speed normal kuna nn
Mara nyingi vijana hupenda kujifunza starehe mpya. labda wanataka wajue raha ya kufa ukiwa umelewa!
 
Back
Top Bottom