Ahaa thanks mkuu. kumbe hapo, ni palm beach kabsa hapo, kuelekea pale mataa ya pili (junction ya kwenda Muhimbili, na kwenda Salender bridge).
Wajuvi wa mji walishaanza kutulisha matango pori humu kuwa eti ajali ili-happen pale kwenye kipande cha kati ya Salender bridge na junction mataa ya kuelekea coco beach.
Wajuvi wengine tena wakaeleza kuwa eti ajali ime-take place pale kwenye kipande cha kati ya junction/Stanbic kuelekea pale Kino makaburi karibia kona ya kwenda leaders.
Basi ilikuwa tafrani humu ndani.
Shukrani mkuu
Asprin kwa kutupa info sahihi.