Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Hapana mkuu c unajua sie kila anaeingia chooni aenda kunya mwingine anahesabu hela teh teh teh
Hahahahaha now you are talking.

Wengine ni maviziaji kama fisi. Yanaenda pale yanakunywa chupa ya maji kwa masaa nane kumendea visista duu vinavyolewa na kukimbiwa na mabasha zao....
 
Kaka enzi zetu watoto wote wa kishua tulikuwa tunajua wana Soma wapi ila hivi sasa ni vulugu mechi pia tulikuwa tuna Jua wana ishi wapi lakini hii Leo waziri anaishiii Kimara bonyokwa,Chanika ,Kongowe ,Kwa mtogole.kwa mujibu wa hawa wauza sura hapa nilipo ni kuwa msiba uko kinondoni pia ukiwa uliza marehemu alikuwa Ana jishughulisha na niniii hakuna jibu la maana.
Madogo wa siku hizi hawajielewi wanapenda Maisha yakufikirika Unakaa MTU anakununulia mipombe wala hujui hela anapata wapi hiki kizazi fuul majanga....Ila naamini malezi yanachangia sana huu ujinga
 
Umeona eeh? Fresh haswaaa! ingawaje "obituary" - thread inaonyesha kuwa dogo alikuwa mwingi wa habari
Afu mimi na wewe bado hatujamalizana. Unataka na mimi nikalenge nguzo ya umeme ndo unikumbuke?
 
Hahahahaha now you are talking.

Wengine ni maviziaji kama fisi. Yanaenda pale yanakunywa chupa ya maji kwa masaa nane kumendea visista duu vinavyolewa na kukimbiwa na mabasha zao....
Mkuu nimegundua nami nahitaji kwenda mitaa hyo labda ntadakamo wa dizaini hzo nshachoka wale wa kwetu kulec uliwaona, vipi hapo rhapsody wanauza viroba au nije nacho cha kwangu kabisa
 
Mkuu nimegundua nami nahitaji kwenda mitaa hyo labda ntadakamo wa dizaini hzo nshachoka wale wa kwetu kulec uliwaona, vipi hapo rhapsody wanauza viroba au nije nacho cha kwangu kabisa
Sehemu wanauza bia buku 5 unategemea watauza viroba? We kamata kiroba chako kitie kwenye chupa ya maji ingia zako chimbo.

Ila kuwa makini sana usije na wewe ukalenga nguzo za umeme. Ukifa ukiwa unatokea pale ni nadra sana kupokelewa kwa Mungu
 
image.png
Mkuu mi sijakataa kama alikuwa kalewa au la. Swali langu kwa huyo bingwa lilikuwa rahisi tu... Je ni wote wanaokuwa Raphsody wanakunywa pombe???
Imeniuma sana japo umeuliza swali ila mimi namlilia huyu binti wa watu sasa hivi kawa single tena daah
 
Sehemu wanauza bia buku 5 unategemea watauza viroba? We kamata kiroba chako kitie kwenye chupa ya maji ingia zako chimbo.

Ila kuwa makini sana usije na wewe ukalenga nguzo za umeme. Ukifa ukiwa unatokea pale ni nadra sana kupokelewa kwa Mungu
Kaka ila mesiya alitengeneza Divai, haya mambo tuuaache tu mzee wangu. Unaweza ukalazwa hospitalini Siku yako ya kukata roho Nesi akapita upaja wazi ukamtamani, hapo napo vipi?
 
Hapana mkuu c unajua sie kila anaeingia chooni aenda kunya mwingine anahesabu hela teh teh teh
Ha ha mzee unaza kihesabu hela, hapo lazima ulikuwa unatoa ofa za kufa mtu sasa unapima umbali sio? Safi sana ha ha ha
 
Kaka ila mesiya alitengeneza Divai, haya mambo tuuaache tu mzee wangu. Unaweza ukalazwa hospitalini Siku yako ya kukata roho Nesi akapita upaja wazi ukamtamani, hapo napo vipi?
Ikitokea hivyo sitakubali kufa. Naibuka naruka kichura then naongea vizuri na nesi. Ni hatari sana kufa mbele ya papuchi
 
Kwani dogo alikuwa kashaoa? Kama kabaki mjane wala asijali... kuna wanaume kibao wanafuata maagizo ya Yesu ya kuwatunza wajane....
Mkuu hata kule kwetu ukioa mjane unaongezewa thawabu bana so asihofu tumo
 
Alikuwa Producer wa mziki? Mbongo Flavor? Promoter? Au Mfanyabiashara Design ya Kina Kinje,Abdul Zeze,Kanyau,Rumishael? Nini kilichomfanya ajulikane na kina masogange,kadinda,wolper,Young D?

nakaribia kumaliza huu uzi, na watu hawasemi wala hawajajibu hayo maswali yako!
 
Afu mimi na wewe bado hatujamalizana. Unataka na mimi nikalenge nguzo ya umeme ndo unikumbuke?
Tobaaa! Jamani Shemeji!! Uuuwi, kumbe ulikataa nisikuite shemeji? Sasa mie familia si itanitenga jamani? Hao wadogo zangu watanielewa kweli?
 
Tobaaa! Jamani Shemeji!! Uuuwi, kumbe ulikataa nisikuite shemeji? Sasa mie familia si itanitenga jamani? Hao wadogo zangu watanielewa kweli?
Wadogo zako wanahusiana nini na biashara yetu?
 
Wadogo zako wanahusiana nini na biashara yetu?
Mmmmh! Hao vidosho woote uliowapanga humu jamvini kama Mfalme Mswati ntawezana nao kweli? Mie moyo wangu hauhimili vishindo😳
 
Alikuwa Producer wa mziki? Mbongo Flavor? Promoter? Au Mfanyabiashara Design ya Kina Kinje,Abdul Zeze,Kanyau,Rumishael? Nini kilichomfanya ajulikane na akina masogange,kadinda,wolper,Young D?
Hakuwa msanii....alikuwa karibu na wasanii km akina Young Dee na Jux so imemfanya kukutana na wasanii wengi wa bongo hivyo akawa maarufu
 
Back
Top Bottom