Mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu utetezi wa kijinga wa sisi waafrica, eti ''BAHATI MBAYA, yaani eti bila kupenda wala kupanga''.
Niliwahi kulumbana kwa hoja kwenye mjadala fulani hivi. Nami pia I am always in the same line of thinking kama wewe mkuu, kwamba hakunaga kitu kinachotokea eti kwa BAHATI MBAYA, hakunaga!
Huwa ni eaither UZEMBE (negligence or recklessness) au MAKUSUDI (deliberately arranged)! Haya ndo mambo makuu mawili yanayosababisha madhara mengi kwa wanadamu, in particular sisi waafrica, mwisho wa picha tunasingizia ooh bahati mbaya.
Akili ikitawaliwa na negligence/recklessness basi hupelekea mtu asicomply with ''duty of care'' kwenye kila action anayotaka kufanya. Pia negligence/recklessness hupelekea mtu akose ''foreseeability'' kwenye kila action anayotaka kufanya.
Mfano mdogo tu: Mtu anakunywa pombe excessively kisha anadrive, tena anadrive speed kali, na ni usiku, na hafungi mkanda!! Huyu akifa kwa ajali tunasema oooh 'bahati mbaya'. what the fckkk!
Au mwingine anaelewa kabsa kuwa tyre zake ni vipara, then anaamsha safari ndefu ya kwenda mkoa. Huyu tyre zake zikiburst akakata kamba, tunaanza kuilaumu 'bahati mbaya'.
Au mwingine anadrive speed kali huku anapapasa paja na ''kupima oil'' hapo seat ya pembeni, sometimes anabadili mkono na kujibu text kwenye simu. Na kuna bata-boys wengine mambulula sana, eti mtu anadrive huku 'ananyonywa koni' na demu.
Kitokee kitu cha ghafula akose control ya gari apate ajali afe, tunailaumu ile ile bahati mbaya. WTF !!
Otherwise, that is what we call 'Poetic Justice'... to be awarded what you deserve as per your action(s)!
Being hell-bound or Paying the price.
Mkuu
samurai , nakubaliana kabsa na hoja yako.