Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

s
Sasa basi usiendelee kunichomesha mahindi PM kule. Nna mahaba ya kuuona mwandiko wako...
Mweeeh! Asa mbona mie sikuoni huko PM jamani! Nilienda nikatoa macho nikakutana na meseji ya sijui mbaba gani huko. Jina sio hili😉
 
Hiyo inaitwa AIRBAG. Ni fuko fulani ambalo hufumuka na kuwa puto fulani pale ambapo gari ikipata mshindo/hit. Husaidia kuwakinga waliomo kwenye gari wasiumie. Magari mengi ya kisasa wanaweka hizo airbag kwenye kila mbele ya seat. Magari mengine ya bei kali, huwekwa airbag mpaka na ubavuni kwenye milango.

So seat ya dereva, airbag yake huwekwa kwenye usukani hapo juu, na ndo hilo unaloona kama kitambaa cheupe.
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi. Kweli siku ya kufa miti, nyani huteleza.
 
s

Mweeeh! Asa mbona mie sikuoni huko PM jamani! Nilienda nikatoa macho nikakutana na meseji ya sijui mbaba gani huko. Jina sio hili😉
Ushasahau raha ni pale mwanamke anapoanza na mwanaume anamalizia. Nikianza mimi najua hutanogewa.

Afu pimbi gani huyo anakufuata PM bila idhini yangu. Kuna watu wanataka niwahamishie vinyeo vyao usoni.... we waache tu
 
Tobaaaa! Kumbe kuna style ya kuanza na kumalizia, haya nakuanza. Huyo alieniwahi huko usijali, yaishe tu baba! Sijamu-intateini, nimempotezea.
 
Bora uwe unasema ukweli. Nikigundua unanicheat ntakuadhibu kwa mimba ya mchana
 
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi. Kweli siku ya kufa miti, nyani huteleza.

Kama gari lina Airbag, na ukafunga mkanda, basi uwezekano wa kupona ni mkubwa. Ila kama 'mzinga' ni wa maana haswa, aaah wapi... mtu anakata kamba na Airbag zake.

Mfano kama umesahau kufunga mkanda, na ukapata mzima wa maana, aaah utachomoka nje na airbag zako... chalii !

Otherwise, airbag + kufunga mkanda, inasaidia mno kwenye ajali.

Karibu mkuu
 
Bora uwe unasema ukweli. Nikigundua unanicheat ntakuadhibu kwa mimba ya mchana
He he he. Usiniadhibu jamani maana mie ni muoga wa kuchanganya mambo mwenzio. Si nilishakumbia moyo wangu hauhimili vishindo?
 
Usijali adhabu yangu si mbaya kihivyo. Ni mabusu motomoto mchana kweupe mbele za watu....
 
Kuna video nimerushiwa w'app,aloo Dogo shida aliipata.apumzike pema.
 
s

Mweeeh! Asa mbona mie sikuoni huko PM jamani! Nilienda nikatoa macho nikakutana na meseji ya sijui mbaba gani huko. Jina sio hili😉

PM yangu hiyo. Ila kwa vile mkuu wangu Asprin nae kaamua kukuomba 'usajiri' basi wacha mie nikae kando kwanza nisubiri kipindi cha pili. Teh teh
 
He he he. Usinitafutie kesi jamani pliiiiz. Maana kuna alieniibukia PM, akawaka na kumuita Pimbi, huyu Babu kumbe mtata sana. 😛
 
Angalia tena vizuri besti: Hapo ni ukitokea sea view ndio unaface hilo bango la matangazo na hizo nyumba, kushoto ni kuelekea mjini na kulia ni kuelekea Salendar ambapo unaona kile kibanda cha polisi
Kutoka Raphsody VIVA Tower mpaka Palm Beach haizidi hata 1km lakini kwa jinsi gari ilivyoharibika inaonyesha alikuwa speed kubwa.
 
PM yangu hiyo. Ila kwa vile mkuu wangu Asprin nae kaamua kukuomba 'usajiri' basi wacha mie nikae kando kwanza nisubiri kipindi cha pili. Teh teh
Mkuu tusitafutiane ubaya kwa MERCIFUL Asprin. Huyo Mrs Asprin ni mali yangu mwenyewe na hatofanua usajili wowote hata kipindi cha kiangazi
 
Back
Top Bottom