Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Naona unajaribu kuandika kama mtu mmoja mwerevu kumbe bado hujitambui. "Eti Afrika tunaamini" bahati mbaya katika jambo la uzembe lakini sehemu zingine duniani ni tofauti.Yaani unatumia neno "tunaamini" authoritatively bila ya kujua kwamba labda ni wewe peke yako na baadhi ya wale uliowai kuwa nao karibu au kuishi nao.
 
huu ubishoo huu hadi hospital wanapiga selfies?? hiv hawajapiga selfie na maiti kweli hawa?? maana hawa vijana wa siku hiz wana utindio wa ubongo
 
Nimeona insta ya martin kadinda anamlilia pia, sasa sijui naye alikua ......( namaanisha mbunifu wa mavazi sio kama unavyowaza)
Ndio wale wale kasoro majina, huoni huyo davtor anavyojiliza utadhani kaachwa mjane, sitaki umbea mieee nimeokokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…