shukrani mkuu.
Kwakweli mimi binafsi kabla ya kukubali huo utetezi maarufu Africa wa 'bahati mbaya' , huwa napima kwanza mazingira ya tukio zima. Waafrica tunapata madhara mengi sana kwa just UZEMBE tu na kusingizia eti bahati mbaya.
Ofcourse kuna baadhi ya matukio/majanga by human ambayo huwa ni result of 'involuntary action(s)'. But matukio/majanga by human ambayo ni result of 'negligence/recklessness' ndo yana-make the majority.
Ona hii mkuu: Daktari mwenye profession kamili kabsa, anaingia theater room kufanya surgery kwa mgonjwa ambaye amekuwa assigned kwake. Badala ya kumpasua mguu (ambacho ndo hasa kinatakiwa kufanyika), yeye anampasua Kichwa!! Hebu imagine hapo mkuu.
Mgonjwa anakufa alafu watu wanaanza ooh jamani ni bahati mbaya tu, mipango ya Mungu!! hahahaa huwa nachoka sana kwakweli