Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Wauza sura hapo sipati picha...simu marashi mavazi na hata magari ya kuazima vyote vipo hapo
Nasikia watu wanaulizana humu marehemu alikuwa na kazi gan mpaka awe maarufu...

Huwezi mjua kama wewe sio Pusha, mla ngada na hujichanganyi na maceleb wa Bongo.... Ndio deal zake marehemu

Huna kazi unasukuma nissan teana
..smh
 
Alikuwa anasukuma ngada ???!!!!!!
Huendeshi Teana hapa mjini kwa bahati mbaya na huna shughuli ya kueleweka

Na kundi lake wanapukutika kwa ajali.... Alianza jimmy

Wamuombe msamaha waliomuingilia kwenye kumi na nane zake...atawamaliza

Town hapa ohooo!
 
Kwa hiyo hadi leo marehemu hajulikani kazi yake..sasa umaarufu wake ulitokana na nini
 
mkuu wa2 wanakufa n ajali ikiwa chanzo ni ulevi mnasingizia mengine...ulevi ndio chanzo cha ajali hiyo dhuluma itakua maneno 2
 
Kwa hiyo hadi leo marehemu hajulikani kazi yake..sasa umaarufu wake ulitokana na nini
Mkuu ukiamua kufuatilia maisha ya watu hapa mjini utachoka mwenyewe....
Ndio maana kuna ule msemo kwamba "mind your own business"
Mji una mambo mengi sana huu.
 
Ndio wale wale kasoro majina, huoni huyo davtor anavyojiliza utadhani kaachwa mjane, sitaki umbea mieee nimeokokoa
walikua wote mpk night hiyo nahisi,maana insta masogange alipost video wakiwa wote somewhere huku huyo Davto akikata mauno jamaa yuko nyuma yake muda mfupi kabla kutangaza kifo
 
Mkuu ukiamua kufuatilia maisha ya watu hapa mjini utachoka mwenyewe....
Ndio maana kuna ule msemo kwamba "mind your own business"
Mji una mambo mengi sana huu.
Ñi kweli mkuu kuna jamaa mmoja analala hom kwake kuanzia saa kumi na moja asubuhi hadi saa saba mchana akiamka anaenda kushinda ma club haijulikana kazi anayo fanya sa angalia hela aliyo nayo sasa nyumba za maana magari makali! Mjini ukiifuatilia mambo ya watu yakwako lazma uchelewe kuyafanya
 
Wabongo wamezoea maisha ya kukariri. Kila mtu aamke saa 11 asubuhi arudi saa tatu usiku. Ndio maana kuna watu hawana kazi ila lazima atoke aende mjini arudi jioni,ndio wale wamejaa kwenye shoe shine corners.

Wakati nimeingia mjini nilikaa muda mrefu bila kufanya kazi,nililipa kodi mwaka mzima, na drive kila siku yaani nafanya kila kitu ambacho mtu anaefanyakazi anafanya kasoro kwenda kazini.

Hali hii iliwapa shida sana majirani washakunaku na mimi nilikuwa uso wa mbuzi sina time na mtu,kama sina issue nakaa home hata wiki.

Sasa,usione mtu anaamka saa saba mchana au saa tano asubuhi then anajirusha kila siku ukamshangaa kama humjui. Wengine kazi yao ni kupitia tu viofisi vyao nusu saa au masaa mawili na kusepa. Wengine wanaenda kufungua ofisi/maduka na kuwaachia vibarua waendelee siku nzima. Kuna mwana alikuwa na daladala kubwa zile za mbagala,yeye anaamka nalo[halilali kwake] saa 11 asubuhi anakomaa hadi saa nne asubuhi anarudi kulala[hela aliopata muda huo usiulize] baadae anaamka saa 10 jioni anaenda kupiga route mbili tu saa moja au mbili karudi miguu juu.

Sasa ukifuatilia mtu kama huyu na yeye akiwa hataki mumjue mtabaki na assumptions nyingi sana,na kama usemavyo utachelewa kufanya yako.
 
Back
Top Bottom