Ajali mbaya imetokea Mombasa, Ukonga Lori la Mkaa lagonga IST kwa nyuma, Watu wahofiwa kufariki

Ajali mbaya imetokea Mombasa, Ukonga Lori la Mkaa lagonga IST kwa nyuma, Watu wahofiwa kufariki

Aisee ni juzi tu hapo tumepita kibati sana na Bajaji dah Mungu atusaidie kwakweli
 
Jamaa hawana akili kabisa. Hakukuwa na ulazima wa kudondosha gari.

Tukisema Tz kuna watu wana iq ndogo watu hawaelewi
Yan mpaka nimejiski vbaya wamemwongezea hasara hapo wangejikusanya watu kumi ingeshuka kwambelee taratibu wao wamebinua kama gunia la mkaa
 
Back
Top Bottom