ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Jamaa hawana akili kabisa. Hakukuwa na ulazima wa kudondosha gari.Hyo gari wameidondoosha vioo vyaupande huu wameviiharbu roof wameipnda biila sabab kwa muonekano wa hyo IST labda majeruh tuu kufa shthan
Tukisema Tz kuna watu wana iq ndogo watu hawaelewi