ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Mar 14, 2025 #21 shamariwa chool said: Hyo gari wameidondoosha vioo vyaupande huu wameviiharbu roof wameipnda biila sabab kwa muonekano wa hyo IST labda majeruh tuu kufa shthan Click to expand... Jamaa hawana akili kabisa. Hakukuwa na ulazima wa kudondosha gari. Tukisema Tz kuna watu wana iq ndogo watu hawaelewi
shamariwa chool said: Hyo gari wameidondoosha vioo vyaupande huu wameviiharbu roof wameipnda biila sabab kwa muonekano wa hyo IST labda majeruh tuu kufa shthan Click to expand... Jamaa hawana akili kabisa. Hakukuwa na ulazima wa kudondosha gari. Tukisema Tz kuna watu wana iq ndogo watu hawaelewi
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Mar 14, 2025 #22 Craig said: IST gari za kinyonge sanaa... Ukitaka kuamini hiloo itokee ajali kama.. Hii.. Kigari kime binuliwa juu kwa nyuma kama kuku kashikwa mkia... Click to expand... Una range ngapi boss??
Craig said: IST gari za kinyonge sanaa... Ukitaka kuamini hiloo itokee ajali kama.. Hii.. Kigari kime binuliwa juu kwa nyuma kama kuku kashikwa mkia... Click to expand... Una range ngapi boss??
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Mar 14, 2025 #23 Ist imeiangukia Lori kutoka juu au?
Hardbody JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 4,139 Reaction score 4,640 Mar 14, 2025 #24 Aisee ni juzi tu hapo tumepita kibati sana na Bajaji dah Mungu atusaidie kwakweli
S shamariwa chool JF-Expert Member Joined Dec 14, 2024 Posts 265 Reaction score 248 Mar 14, 2025 #25 ras jeff kapita said: Jamaa hawana akili kabisa. Hakukuwa na ulazima wa kudondosha gari. Tukisema Tz kuna watu wana iq ndogo watu hawaelewi Click to expand... Yan mpaka nimejiski vbaya wamemwongezea hasara hapo wangejikusanya watu kumi ingeshuka kwambelee taratibu wao wamebinua kama gunia la mkaa
ras jeff kapita said: Jamaa hawana akili kabisa. Hakukuwa na ulazima wa kudondosha gari. Tukisema Tz kuna watu wana iq ndogo watu hawaelewi Click to expand... Yan mpaka nimejiski vbaya wamemwongezea hasara hapo wangejikusanya watu kumi ingeshuka kwambelee taratibu wao wamebinua kama gunia la mkaa