macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Ndiyo unagundua leo hasa kwa nchi kama Tanzania ambayo viongozi na wananchi waliashaamua kuwa vifo vya uzembe ni ruksa?Nimegundua hakuna mwenye uhakika na maisha, yan gari imetoka upende mwingine imeenda kuua upande mwingine pamoja na kwamba kuna mawe makubwa ya kuzuia gari kuvuka
Kabisa mkuu, yan kuondoka ni kama kutema mate tuBinadamu hana sababu ya kuringa kabisa
Wanazo Mkuu ila kwa uchumi WA Taifa letu ulivyo mdogo wanaruhusiwa kutazama ma-semi thriller ya MILIONI Mia 2 yakiwa yameanguka na hayafai kabisa 😁Hivi hao watu waliojaa hapo hawana shughuli ya kufanya
Warudishwe vijiji kulima...
Nimengalia picha namba tano, nimekosa jibu.Hivi hao watu waliojaa hapo hawana shughuli ya kufanya
Warudishwe vijiji kulima...
wiki mboli zilizopita echa la mbagala na tata zimeumana usokwauso, ukweli ni kuwa hapo kuna kosa la kihandisi, kwenye hiyo kona barabara badala ya kulalia ndani imelalia nje, hapo hata ukija na speed 50 lazima uchochole, viongozi wetu wanapita hapo, ulega anapita hapo na kosa wanaliona na hawachukui hatua, hatakama ni fedha za world bank zisitufanye wajingaBarabara zetu nyingi upana wake sawa na mstari wa makalio