Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Kumetokea ajali asubuhi ya leo Juni 07, 2020 katika eneo la Mbembela jijini Mbeya iliyohusisha gari dogo la abiria aina ya Hiace, lori la mafuta, lori la bidhaa na Bajaji.
Katika ajali hiyo Mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa baada ya lori hilo lililokuwa limebeba mafuta kufeli breki na kugonga daladala hiyo ambalo lilikuwa limebeba watu wanne.