Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

Hizo Costa napenda Sana kuzitumia kwenda Moshi ,ila wanapakia abiria kwa kujificha ficha Sana ,sikujua Kama wanawakimbia Sumatra ,kwani Ni kosa kusafisha abiria usiku ?
 
Jisome mkuu..isije kuwa una connection napo...
 
Rafiki yangu kaondokewa na baba yake mkubwa, alipanda IT nafikiri ndo hiyo gari ndogo iliyotajwa hapo akielekea msibani.

Maisha haya yana fumbo, kaishia njiani kabla hata ya kufika msibani[emoji22][emoji24].
 
Rafiki yangu kaondokewa na baba yake mkubwa, alipanda IT nafikiri ndo hiyo gari ndogo iliyotajwa hapo akielekea msibani.

Maisha haya yana fumbo, kaishia njiani kabla hata ya kufika msibani[emoji22][emoji24].
Iyo gari ndogo plate number sio IT
 
Kipande cha Nanenane kibaya sana kuna bruda wa kikatoliki mmoja alikufa kwa kukanyagwa na tairi la bus.
 
Rafiki yangu kaondokewa na baba yake mkubwa, alipanda IT nafikiri ndo hiyo gari ndogo iliyotajwa hapo akielekea msibani.

Maisha haya yana fumbo, kaishia njiani kabla hata ya kufika msibani[emoji22][emoji24].
Pole Sana. Ni huyu Mzee wa Kibaha Kwa Mfipa? Ameniuma sana
 
Abiri nao walikuwa wapuuzi!! Gari linakimbia mnamsaidia dereva kukufuru, haya sasa imekuwa msiba kweli!!!! Mliombea ba imekuwa. Shetani anasubiri tu mtu anafanya nini na anafanya yake!!! Anyway pole zao wote waliofiwa.
 
Ingekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Mwendazake ana points zake positive nyingi tu. Hatahii budget ya kipuuzi isingepita angekuwepo. Waziri angeliwa kichwa!! Si mnamkumbuka mkurugenzi wa Tanesco aliyetaka kuongeza bei ya Luku? Aliliwa kichwa. Na mauzauza yote aliyofanya kuna vitu vingi vizuri alifanya. Yaani unamlipisha kila mwananchi kodi ya jengo kwa kupitia manunuzi ya luku? Vocha na sim card unazilipia kodi every month? Pombe ndiyo unaishusha bei ili wajinga wainywe sana wafupishe maisha yao!!!! Ukinywa sana pombe unfupisha life span yako!!! Ujinga huu usingefanywa kabisa!!!! Tutaona mengi sana ya kipuuzi,
 
Hili suala lipo
Imetokea wimbi la coaster bubu kusafirisha abiria nyakati za usiku tu bila vibali
Juzi tarehe 21 kama sijasahau nilitokea kahama kwenda Dodoma nikitumia usafiri wa coaster
Kilochotokea ni kuwa, polisi wanapo simamisha hizi gari dreva anashuka na kwenda kuongea na polisi
Tulipofika Bahi, nilisikia dreva akimwambia polisi kuwa hili coaster imebeba watalii, KWA hiyo hakuna aliyekuwa na tiketi
Polisi wetu nao jinsi walivyo hawaelewi, hawakuingia kuuliza kwa abilia, na hivyo tukapita hiyo check point bila kukaguliwa
Dreva wa lile gari alikuwa anaendesha kwa mwendo kasi sana akisindikizwa na kelele za mziki. Abiria tulimsii sana apunguze mwendo pia apunguze sauti ya mziki wake. Dreva alikaidi kutusikiliza abiria wake KWA kuendelea kuendesha KWA Kasi na sauti juu ya mziki
Tukiwa tunaendelea na hiyo safari, dreva alipigiwa simu na boss wake kumweleza kutokea KWA hiyo ajali ya morogoro. Na yaonekana mmiliki wa hizo gari ni mmoja kutokana na mazungumzo yalivyokuwa yakiendelea
NB
WITO WANGU KWA SERIKALI
AJALI ZA USIKU ZITAENDELEA KUTOKEA SANA NCHINI KUTOKANA NA KUSHAMIRI KWA SAFARI ZA USIKU ZA GARI HIZI AINA YA COASTER KUTOKA AU KUELEKEA KWENYE MIJI MIKUBWA YA KIBIASHARA
NA HIZO COASTER ZINAONEKANA ZINAMILIKIWA NA MMILIKI MMOJA AMBAE AMEANZISHA GENGE LA BIASHARA BUBU YA KUSAFIRISHA ABIRIA USIKU KWA USIKU
SERIKALI ICHUNGUZE HIZI COASTER HASA ZINAZOTOKEA KAHAMA KWENDA DAR, DAR KWENDA KAHAMA, MBEYA KWENDA DAR, DAR KWENDA MBEYA, DAR KWENDA NA KURUDI ARUSHA. HIZO COASTER ZINASAFIRI USIKU KWA USIKU HUWEZI KUTA INAFANYA KAZI MCHANA, MUDA WA KUANZA KAZI NI KUANZIA SAA 11 JIONI
 
Ingekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Akili za majitaka hizi ninyi wasukuma mavi ile ajali ya Moto Morogoro,kivuko mwanza wabafunzi kule Arusha Rais alikuwa Baba yako?? Mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hiki jamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…