Ajali Mwanza: Basi la Ulamaa limepata ajali leo alfajiri kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,628
Basi la Ulamaa T330 DGB likitoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali leo alfajiri kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani Mwanza, ndani ya nyumba kulikuwa na Watu 6…. hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi ambao wamepelekwa Butimba Hospitali.

Ulamaa.jpg
Ulamaa2.jpg
 
Pole kwa wote waliopata ajali.
Chuma zikiachiwa pale Nyegezi zinavyokimbia kwa kasi kiasi kwamba ikotokea kosa kidogo basi ni ajali akuna cha breki wala kukwepa.
 
Kwa kila kituo ambapo nimewahi kuanzia safari, gari zikiachiwa huwa zinakimbia sana. Sijui kwanini...
 
Basi la Ulamaa T330 DGB likitoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali leo alfajiri kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani Mwanza, ndani ya nyumba kulikuwa na Watu 6…. hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi ambao wamepelekwa Butimba Hospitali.

Ile mambo ya ukaguzi iko wapi?

Ajali kwa kiwango kikubwa ni mwendo hayo mengine ni negligible %.
 
Back
Top Bottom