Kwa kila kituo ambapo nimewahi kuanzia safari, gari zikiachiwa huwa zinakimbia sana. Sijui kwanini...Pole kwa wote waliopata ajali.
Chuma zikiachiwa pale Nyegezi zinavyokimbia kwa kasi kiasi kwamba ikotokea kosa kidogo basi ni ajali akuna cha breki wala kukwepa.
Basi la Ulamaa T330 DGB likitoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali leo alfajiri kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani Mwanza, ndani ya nyumba kulikuwa na Watu 6…. hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi ambao wamepelekwa Butimba Hospitali.