Ajali: Mwendokasi lagonga bodaboda na kumuua Tip Top

Ajali: Mwendokasi lagonga bodaboda na kumuua Tip Top

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Ajali imetokea muda huu.

Ni katika stand ya mwendokasi Tip Top manzese. Ajali huyo ilihusisha bodaboda na gari ya mwendokasi.
Taarifa kutoka eneo la tukio ni kwamba bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia. Gari la mwendokasi likakosa break na kumgonga muhusika.

Chanzo. Mimi mwenyewe
 
Mwrndokas wawe makini mda mwingine
Kama pale kituo cha gerezani....kwa nini wasiweke kivuko watu wawe wanapita juu kuingia au kutoka kituoni .....pale basi likija spidi ni hatari MTU akijichanganya basi tena...fikisha ujumbe kwa mkuu wa BRT.
 
Hao boda boda wamezidi yaani mpaka kero mjini usipande bodaboda watakuwahisha kwa kaisari bila kupenda
 
Naomba kiwasilisha.....
IMG-20200824-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom