Ajali nyingi husababishwa na msongo wa mawazo

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam

Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili, anaopata mtu kutokana na changamoto za maisha.

Mtu akidrive, huku ana msongo ni rahisi sana kusababisha ajali coz akili inakua haipo active barabarani.

Tujiepushe kudrive, tukiwa na msongo mkali coz madhara yake ni mabaya kwa maisha yetu na wenzetu.
 
Inawezekana ikawahusu sana madereva wa mabasi na manyanyaso wanayopata na polisi.

Hivi nani kazini kwake anawajibika polisi kama ilivyo kwa madereva wa mabasi?

Bila kusahau polisi wenyewe ndiyo hawa!
 
Waongeze matumizi ya CCTV camera, technology, nchi nyingi traffics, ujenzi wa SGR za mjini, treni za mjini, mwendokasi kama nchi zote zilizoelendea. Treni moja yamjini ni kama magari mia moja barabarani, Kujenga barabara mpya mjini ni gharama sana.

inahusishasha sana technology, mafunzo, uthibiti, ukifunga sheria hata uwe waziri, star unashugulikiwa.

Udereva ni kazi muhimu sana kila kitu kinasafirishwa na dereva.
Polisi waondolewe barabarani wakafanye kazi zingine.

Udereva wa mabasi ni kazi kama zingine.

Udereva si uhalifu.

Polisi wakadhibiti utekaji huko.

Vipi wewe kazini kwako kusimamiwa na polisi wenye pingu?
 
Waongeze matumizi ya CCTV camera, technology, nchi nyingi traffics, ujenzi wa SGR za mjini, treni za mjini, mwendokasi kama nchi zote zilizoelendea. Treni moja yamjini ni kama magari mia moja barabarani, Kujenga barabara mpya mjini ni gharama sana.

inahusishasha sana technology, mafunzo, uthibiti, ukifunga sheria hata uwe waziri, star unashugulikiwa.

Udereva ni kazi muhimu sana kila kitu kinasafirishwa na dereva.

Si sahihi dereva kuwa answerable polisi
 
Si sahihi dereva kuwa answerable polisi
Police ni nini? Policing ni kuhakikisha unafuata kanuni za barabara au policy nchi iliyokubaliana kuhusu jinsi tunavyoishi barabarani. Kila sehemu inayowahusu watu wengi kuna mamlaka ya usimamizi, kwenye mipaka, majeshi, mapato TRA, hadi Sungusungu mitaani. Mambo vijijini.

Lazima kuwe na mamlaka kusimamia utekelezaji wa kanuni, sheria, maamuzi, makubaliano ya jamii, nchi.
 
Unaona je nurses, madaktari, makarani, secretaries, walimu, nk wangekuwa wanaweza kuwa kwenye faini au pingu kutokana tu na utendaji wao kazi wa kila siku?
 
Back
Top Bottom