- Thread starter
- #41
Upo sahihi mkuu, matrafiki wetu ni wasumbufu kupita kiasi, hawazingatii kabisa weledi wa kazi yao.Hata ukiwa huna changamoto, hao jamaa wana harras madereva hasa wa mabasi utadhani ni wahalifu.
Vipi madereva hao kuwa na utulivu kwenye kazi zao kwenye mazingira kama hayo?