Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Wana mamlaka inayowasimamia, ya usimamizi ukiwa Dokta,,Nurse, Accountant, auditors, Lawyer, Architeturer, ukizingua leseni inaondolewa mpaka urusi kwenye vigezo.Unaona je nurses, madaktari, makarani, secretaries, walimu, nk wangekuwa wanaweza kuwa kwenye faini au pingu kutokana tu na utendaji wao kazi wa kila siku?
Binadamu lazima wasimamiwe hadi Rais ili kuwe na uwajibikaji.