Hili linawezekana kwa watu binafsi bt si kwa walioajiriwa.Kwanini usichukue taksi ukiwa na msongo wa mawazo au ubaki nyumbani.
Mawazo hutokana na changamoto za maisha bila kujali hali ya kipato chako.mawazo yanatoka wapi wakati mtu umeshajipata?
Kuua watu au kufa mwenyewe kwa ajali ni matokeo ya hayo misongo ya mawazo.Hili linawezekana kwa watu binafsi bt si kwa walioajiriwa.
Salaam
Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili, anaopata mtu kutokana na changamoto za maisha.
Mtu akidrive, huku ana msongo ni rahisi sana kusababisha ajali coz akili inakua haipo active barabarani.
Tujiepushe kudrive, tukiwa na msongo mkali coz madhara yake ni mabaya kwa maisha yetu na wenzetu.
Wenge la msongo ni hatari kuliko la pombe.Don't drink and drive....
Unajua system yote imeoza. Bila rushwa huwezi kuendesha bila shida.Inawezekana ikawahusu sana madereva wa mabasi na manyanyaso wanayopata na polisi.
Hivi nani kazini kwake anawajibika polisi kama ilivyo kwa madereva wa mabasi?
Bila kusahau polisi wenyewe ndiyo hawa!
Unajua system yote imeoza. Bila rushwa huwezi kuendesha bila shida.
Hawa traffics waongezewe mishahara.
Polisi waondolewe barabarani wakafanye kazi zingine.
Udereva wa mabasi ni kazi kama zingine.
Udereva si uhalifu.
Polisi wakadhibiti utekaji huko.
Vipi wewe kazini kwako kusimamiwa na polisi wenye pingu?
Waongeze matumizi ya CCTV camera, technology, nchi nyingi traffics, ujenzi wa SGR za mjini, treni za mjini, mwendokasi kama nchi zote zilizoelendea. Treni moja yamjini ni kama magari mia moja barabarani, Kujenga barabara mpya mjini ni gharama sana.
inahusishasha sana technology, mafunzo, uthibiti, ukifunga sheria hata uwe waziri, star unashugulikiwa.
Udereva ni kazi muhimu sana kila kitu kinasafirishwa na dereva.
Police ni nini? Policing ni kuhakikisha unafuata kanuni za barabara au policy nchi iliyokubaliana kuhusu jinsi tunavyoishi barabarani. Kila sehemu inayowahusu watu wengi kuna mamlaka ya usimamizi, kwenye mipaka, majeshi, mapato TRA, hadi Sungusungu mitaani. Mambo vijijini.Si sahihi dereva kuwa answerable polisi
kinga ipo Sana hawa watu wanaotumia Barabara wangekuwa wanapata hata semina mara kwa mara hii itawaweka attention kuliko kuishi kwa mazoeaAjali haina kinga, japo kuna vitu vinachagiza kutokea kwake
Police ni nini? Policing ni kuhakikisha unafuata kanuni za barabara au policy nchi iliyokubaliana kuhusu jinsi tunavyoishi barabarani. Kila sehemu inayowahusu watu wengi kuna mamlaka ya usimamizi, kwenye mipaka, majeshi, mapato TRA, hadi Sungusungu mitaani. Mambo vijijini.
Lazima kuwe na mamlaka kusimamia utekelezaji wa kanuni, sheria, maamuzi, makubaliano ya jamii, nchi.