Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Wana mamlaka inayowasimamia, ya usimamizi ukiwa Dokta,,Nurse, Accountant, auditors, Lawyer, Architeturer, ukizingua leseni inaondolewa mpaka urusi kwenye vigezo.Unaona je nurses, madaktari, makarani, secretaries, walimu, nk wangekuwa wanaweza kuwa kwenye faini au pingu kutokana tu na utendaji wao kazi wa kila siku?
Mkuu sisi bodaboda bila kisungura ni ngumu sana kutimiza hesabu ya siku...tunakunywa kistaarabu kupunguza wenge barabaraniDon't drink and drive....🤗
Wana mamlaka inayowasimamia, ya usimamizi ukiwa Dokta,,Nurse, Accountant, auditors, Lawyer, Architeturer, ukizingua leseni inaondolewa mpaka urusi kwenye vigezo.
Binadamu lazima wasimamiwe hadi Rais ili kuwe na uwajibikaji.
Kwanini madereva wasiwe na zao za kitaaluma kuwasimamia?
Kwani ulisikia hiZo za kitaaluma zikitoza faini au kufunga watu pingu?
kumbe kuna kuwaza hadi kupata ajali barabarani wakati uswahilini tunajua ukishanunua gari tayari uko relaxedMawazo hutokana na changamoto za maisha bila kujali hali ya kipato chako.
Taaluma ni nini? Traffic officers ni wanataaluma kuhusu barabara.
Police wanasomea upolisi baadaye wana-focus kusomea sheria, taratibu na kanuni za barabarani ndio wanakuwa, wanaitwa traffic officer.
Nini kinawakwamisha mishahara midogo, wawe na kamera kila mmoja kurekodi kila maongezi na madereva.
Unafikiri mishahara yao ikianzia milioni mbili na wana camera itapunguza rushwa? Kila mwananchi afaidika?
utajuaje kuwa una msongo wa mawazoKwanini usichukue taksi ukiwa na msongo wa mawazo au ubaki nyumbani.
Wazo la hovyo,nani alikwambia ajari haina kinga?Ajali haina kinga, japo kuna vitu vinachagiza kutokea kwake
Polisi was usalama barabarani hana utaalamu wowote wa gari au hata uendeshaji kama taaluma.
Kina aliondoa hawa watu barabarani na kukawa murua kabisa.
Wameanza kurudi, Hawa ni wa kuondoa.
Angalizo; hakuna wenye mishahara mikubwa ndiyo wala rushwa zaidi.
Kama unafikiri Traffic hawasaidia chochote, hawajui sheria , kanuni, taratibu za barabara na kwamba kama unalipwa pesa hata kulipa kodi, chakula, elimu ya watoto ni shida haichangii rushwa. Tuishie hapa. Kuna level za mijadala bila itikadi, mihemuko, ukiwa huru kuliangalia tatizo kwa mapana yake na jinsi la kulisahihisha na kuweka mambo sawa.
utajuaje kuwa una msongo wa mawazo
Kuna kipindi niliuguza mtoto kwa mda mrefu, kuna siku nikiwa road mawazo yalinichukua nikajikuta nimesababisha ajali japo haikua na madhara makubwa.Nakubaliana na wewe kuna kipindi ili bidi nijipe miezi mitatu bila kuendesha gari kabsa wala kutembea sana mjini .maana nilikuwa najikuta nasahau kama niko barabarani nawaza mambo mengine kabsa
Wazo la hovyo,nani alikwambia ajari haina kinga
Mkuu wewe unatoa chanjo za ajari tuje?Wazo la hovyo,nani alikwambia ajari haina kinga?
Mkuu maisha hayapo hivo kama unavojaribu kuyachora katika fikra zakokumbe kuna kuwaza hadi kupata ajali barabarani wakati uswahilini tunajua ukishanunua gari tayari uko relaxed
Umeshauri vyema mkuu.Unajua ni kitu kigumu sana kuamua kutokwenda kazini. Ndio maana nasema kuwe na mamlaka ya ukaguzi hata kila wiki, mwezi kupima vilevi, mtu yuko sawa.
Lakini muhimu zaidi Madereva kazi zao ziheshimiwe kwamba ni taaluma muhimu, wanatusafirisha wote, na mizigo yote. Hivyo walipwe mishahara ya kutosha. Kupewa break kila baada ya masaa kadhaa Kama manne hivi. Na pia wawe na Bima hata kama akipata tatizo msongo wa mawazo waweze kulipwa mishahara yao kamili kama miaka miwili ijao. Kuwe na therapy ambayo ni sehemu ya Bima, dereva anaweza kwenda wakati wowote kuongea kuhusu msongo wa mawazo.
Imagine unachangamoto za kifamilia, za kikazi then unaingia road ukiwafikiria traffic unadhan utadrive kwa utulivu kweli?View attachment 3125911
Watu wa namna hii hawastahili mishahara ni wa kuondoa barabani na ajali zitapungua.
Mr.Sound tuuchukulie usalama barabarani serious sana. Mimi ndugu zangu, wenzangu wana vilema, wengine wametangulia mbele ya haki.Umeshauri vyema mkuu.
Imagine unachangamoto za kifamilia, za kikazi then unaingia road ukiwafikiria traffic unadhan utadrive kwa utulivu kweli?
Umenena vyema, madereva wakipata treatment nzuri wanazostahili, itarawarahisishia utekelezaji wa majukum yao.Mr.Sound tuuchukulie usalama barabarani serious sana. Mimi ndugu zangu, wenzangu wana vilema, wengine wametangulia mbele ya haki.
Chakula, kwenda popote kazini, kurudi, tunategemea usafiri. Tuifanye iwe kazi kama dereva wa mwendokasi, treni ya SGR, ndege za ATCL.
Hii taaluma iheshimiwe. Pesa zinazoibiwa na viongozi kila siku zinaweza kutosha kutumika kwa Bima, mishahara ya madereva, Mapolisi, walimu, Nurses, Doctors.