Ajali nyingi husababishwa na msongo wa mawazo

Hata ukiwa huna changamoto, hao jamaa wana harras madereva hasa wa mabasi utadhani ni wahalifu.

Vipi madereva hao kuwa na utulivu kwenye kazi zao kwenye mazingira kama hayo?
Upo sahihi mkuu, matrafiki wetu ni wasumbufu kupita kiasi, hawazingatii kabisa weledi wa kazi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…