Ajali Rufiji: Mwenyekiti wa CCM Kilwa na Wengine Watatu Wafariki, 28 Wajeruhiwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.

Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.

===
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), amefariki dunia pamoja na watu wengine watatu katika ajali ya basi aina ya Higer (T574 DZY) iliyotokea eneo la Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji – Barabara Kuu ya Kilwa kuelekea Dar es Salaam. Basi hilo lilikuwa likitokea Kilwa Masoko kwenda Dar es Salaam na lilipoteza mwelekeo kisha kupinduka darajani.

Waliofariki ni Kalupula, Juma Japhar Mnuke (42) mfanyabiashara kutoka Masasi, Francis Charles Mwerach (53) mkulima kutoka Tanga, na Mohamed Juma Mohamed (35) kondakta wa basi hilo mkazi wa Lindi. Aidha, watu 28 wamejeruhiwa ambapo walifikishwa Kituo cha Afya Mohoro, na majeruhi waliokuwa katika hali mbaya zaidi wakihamishiwa hospitali kubwa kwa matibabu ya kina.

Jeshi la Polisi limesema uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo bado unaendelea, huku likitoa wito kwa madereva kuongeza umakini barabarani ili kuepusha madhara zaidi.
 
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.

Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.
Screenshot_2025-09-13-20-37-15-65_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Its so sad
Lakini atleast ndugu zao watawaaga na kuwazika miili yao
Kuna wenzao wanapotezwa tu
 
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.

Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.
mungu baba nakuomba uendelee kuwapenda zaidi viongozi wote wa inzi wa kijani!
 
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.

Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.
1757788164189.jpeg
 
Buti la zungu

Ila kuhusu mwenyekiti wa CCM sina uhakika Sana kwa sababu kuna jamaa kaniambia wote NI watuvwa Lindi mjini labda kama hiyo mwenyekiti anaish hapa Lindi
 
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.

Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.
Walikuwa wanakwenda kujaza uwanja kama kawaida 🤣
 
Back
Top Bottom