Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.
Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.
mungu baba nakuomba uendelee kuwapenda zaidi viongozi wote wa inzi wa kijani!Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.
Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.
Acha kuchekesha watu msibani!
Higer ni basi hilo...Ni gari la aina gani ? Lori, basi la abiria, trekta ?
Walikuwa wanakwenda kujaza uwanja kama kawaida 🤣Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam.
Gari hilo lililokuwa na abiria 53, lilikuwa likitoka Kilwa Masoko kuelekea Dar es Salaam.