Shukrani kaka compliments kama hizi zinanitia nguvu ya kuweza kusonga mbeleBingwa hapo umeweka POINTS khaswa !!!
Vizingatiwe:-
Uzembe wa madereva una vyanzo vingi sana vikiwemo
-stress za kimaisha na kifamilia
-magonjwa wakati mwingine ya akili
-starehe hasa ulevi na ngono
-ulemavu uliofichika hasa wa macho miguu na mikono
-Ubabe ubishi na mashindano
-dharau kiburi na majigambo
-umri na kukosa majukumu
-papara na vurugu za ki maono
-elimu
Indeed mkuu, Nina kubali sana michango yako... yaani bila Mshan Jr JF itatembelea tyri moja!! Ha ha haaShukrani kaka compliments kama hizi zinanitia nguvu ya kuweza kusonga mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haters will not like to hear thisIndeed mkuu, Nina kubali sana michango yako... yaani bila Mshan Jr JF itatembelea tyri moja!! Ha ha haa
Kweli Binaadamu hatujakamilika... watanuna mchana usiku watalala ..Wee dundika tu...Life goes on..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haters will not like to hear this
I really hate to hear that...aaarghhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haters will not like to hear this
Una hizo takwimu mkuu?!Na hii mikakati ni vema ikaanza na DSM hasa Kinondoni kimkoa kiwilaya na kikanda(kutokana na mgawanyo wa kimajukumu)kwakuwa kwa ajali zote zinazotokea Tanzania kila siku na kwa takwimu za vipindi vya mwaka kinondoni inaongoza...hii pengine ni kutokana na wingi wa watu vyombo vya usafiri sehemu za starehe na pengine miundo mbinu
Yeah za 2014-15 kwa mujibu wa jeshi la police kupitia kwa Kamanda mpinga nitaweka hapaUna hizo takwimu mkuu?!
i will appreciate.Yeah za 2014-15 kwa mujibu wa jeshi la police kupitia kwa Kamanda mpinga nitaweka hapa View attachment 320926ikishindikana kuweka document nitaweka link
Jf inakataa ku attache scree shorts lakini tembelea michuzi blog na millardayo.com habari nyingi zinapatikana hapoi will appreciate.
Ajali hizi zinaepukika endapo madereva watajiheshimu na kuheshimu vyombo vya moto. Pia wasimamizi wa sheria za barabarani wakiwa makini na kazi zao tunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa hii ishu
Sasa kwa hali hapo hata abiria nao wanatakiwa wachukuliwe hatua Kali za kisheria
Miye natofautiana kidogo na weye mshana jr. Ajali nyingi ni za kuchonga tu. Msilete mambo ya shule ya udereva. Miye nilijifunzia vichochoroni leo nina miaka 30 haijapita siku 7 bila miye kuendesha gari. Leseni yangu saaafiiii. Mbona waliokwenda shule hao madereva wa mabasi wote ndo hao wanaua watu kwa kishindo?? Kuanzia 10 kwenda juu on the spot??? Walipobadili leseni walisema ndio mtambo wa kupunguza ajali. Naona ni njia walibuni ya kuongeza ajali kwani ndipo zimezidi
Jamani, kiini hakipo kwenye leseni. Kiini ni mtu mwenyewe. Madereva Wasiendeshe gari wakiwa wamelewa ulevi wowote ule. Iwe bangi, au pombe au madawa. Ukishaona unayahitaji hayo, tafadhali, jali maisha ya watu uliobeba. Nadhani watu wazuri hapo ni wana saikolojia wabobevu, wenye uwezo wa kuijua tabia ya mtu mapema. Hao walevi wawachambue wawaweke kando.
Jingine ni malipo kwa madereva hao. Tajiri unamkabidhi mali ya mamilioni huyo dereva, anakupelekea mizigo halafu weye unaweka kibindoni mamilioni unamlipa senti. Haki iko wapi?? Serekali ianzishe ajira ya madereva wa magari ya abiria na magari makubwa. Kiwe ni kitengo rasmi na yeyote anayetaka dereva, aende huko akapewe dereva mtaalam. Nasema; Serekali ili iweze kuwadhibiti.
Jingine: Njia zetu/ barabara zetu. Haya ni makaburi wazi kabisa. Ukitaka kumpisha huyo kichaa anayekuja mbele yako, tiyari umetumbukia mtoni/korongoni. Gari ikiacha njia kidogo tu, kuirudisha barabarani ni shida. HATUNA MAINJINIA TZ. Hao ni vioo tu vya kujiangalia. Wapate 10% yao baasi.
Serekali, itengeneze barabara sio hivi vichochoro. Umeona hapo hayo magari yanavyo ovatekiana?? Mpaka vioo vya kuangalia nyuma kidogo ving'olewe! Hiyo ni njia au uchochoro??
Vichaa wapo kila sekta, hivyo yule mstaarab anayekuja mbele yako, achepukie kando apishe huyo kichaa apite. Lakini barabara haimruhusu, hivyo anajikuta ni uso kwa uso tu.
Nadhani hizi ni baadhi tu ya sababu. Naomba barabara zetu zipanuliwe, hata kama sio kwa lami lakini zijazwe moramu kando kando kuruhusu gari ichepukie huko kuepesha uso kwa uso lakini gari isitumbikie isikoweza kutoka
Umeongea dhahabu tupu
Aksante mkuu, ila laiti viomgozi wetu wangekaa wakakuna vichwa wakatusaidia hata hili tu la kupanua barabara kwa moramu tuu tungepunguza ajali
mangatara kwanza nikushukuru kwa mchanganuo murua lakini hujafikiria kuhusu self driving, walimu wa vyuo vya udereva niliowazumzia na leseni zenye kukidhi vigezoMiye natofautiana kidogo na weye mshana jr. Ajali nyingi ni za kuchonga tu. Msilete mambo ya shule ya udereva. Miye nilijifunzia vichochoroni leo nina miaka 30 haijapita siku 7 bila miye kuendesha gari. Leseni yangu saaafiiii. Mbona waliokwenda shule hao madereva wa mabasi wote ndo hao wanaua watu kwa kishindo?? Kuanzia 10 kwenda juu on the spot??? Walipobadili leseni walisema ndio mtambo wa kupunguza ajali. Naona ni njia walibuni ya kuongeza ajali kwani ndipo zimezidi