Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tunao viongozi na wafanyakazi wengi tu humu wa hizo idara ma vitengo nilivyotaja hapo juu ambao ni members humuHivi kamanda Mpinga yupo humu JF?? Huyu mheshimiwa anatakiwa humu tumuulize maswali. Ana mengi sana ya kutuelimisha,na kufafanua.
Tunahitaji maoni yao ushauri wao na nini kifanyike kukabiliana na hii hali ya sasa
si kwamba watu wanaendesha magari mbovu la hasha, magari mengi ya nayo pata ajali sasa hivi ni mapya/yaliyo katika hali nzuri
Shida kubwa ipo kwenye nidhamu ya barabarani, kuzifuata sheria kanuni na taratibu za barabarani! Kuzisoma na kuzielewa
TANROADS tena nao ni wadau wakubwa kabisa kwenye hili wasiishie kujenga na kuhimiza utunzaji wa barabara hata hili la elimu kwa madereva juu ya usalama wa barabara kwa muktadha wao inahitajika sana