Ajali tena Ubungo

Ajali tena Ubungo

kagonga serk kazii anayoo aiseeeeee

amenikumbhsha mbalii Feb kuna dalala lituovertake kumbe wanajeshi mbezi wamesimamisha magari mkuu anapita jamaa kawashaa motor kaiachia anafika anapigwa mkono akaunga gafla msafara wa mzee ukamkosakosa aisee walichonfanyia siri yake

alipigwaaa badaaee mjeshi akaingia akawasha gari kama anarudi goba unahisi alikuwa anaenda nae wapi sijui....
hayo waliofanya wanajehi ni uhuni kama uhuni mwingine
 
Back
Top Bottom