"Njia ile ambayo siyo ya kusini" una maana gani? Ukiitwa we ni mkabila mpumbavu nakosea? Kwani ukijenga hoja bila kuchomekea upuuzi km huu ujumbe wako hauwezi kueleweka? Njia za kusini zina nini, we kujsini umefika sehemu gani. Kusini wapi we dondocha! Nafahamu kabila lakoili nisionekane mpuuzi km wewe sintaitaja.
Pumzika kwanza kunywa maji.toa jibu nipanic kitu gani ktk huu upupu wako. Unaandika vitu vya ajabu umelazimishwa?
Relax mzee hatuko vitaniAlikutwa nazo, km huna taarifa sahihi si unyamaze kuna mtu anakulazimisha kutuletea huu upoyoyo? Unawashwa na nini. Hata hivyo ana umuhimu gani kiasi hicho ilhali ajali hutokea siku zote? km ni ndugu yako kaanzishe uchunguzi wako binafsi
"Njia ile ambayo siyo ya kusini" una maana gani? Ukiitwa we ni mkabila mpumbavu nakosea? Kwani ukijenga hoja bila kuchomekea upuuzi km huu ujumbe wako hauwezi kueleweka? Njia za kusini zina nini, we kujsini umefika sehemu gani. Kusini wapi we dondocha! Nafahamu kabila lakoili nisionekane mpuuzi km wewe sintaitaja.
Da jamaa anachekeshs jinsi alivyo panic, kumbe haelewi kitu,Kaka naona umeenda mbali sana, hoja ya jamaa ni kwamba X balozi aligongana na gari la makaa ya mawe swali lake ni kwamba kama alikuwa anaenda Moshi KLM na alipata ajali handeni je njia hiyo kuna magari yanayobeba makaa ya mawe? yanatoka wapi yanakwenda wapi
maana ni wazi makaa ya mawe yanachimbwa Mikoa ya kusini,
Nyie punguzeni speculation za ajab ajab....eneo hilo la tengwe siyo ajaliKaka naona umeenda mbali sana, hoja ya jamaa ni kwamba X balozi aligongana na gari la makaa ya mawe swali lake ni kwamba kama alikuwa anaenda Moshi KLM na alipata ajali handeni je njia hiyo kuna magari yanayobeba makaa ya mawe? yanatoka wapi yanakwenda wapi
maana ni wazi makaa ya mawe yanachimbwa Mikoa ya kusini,
Naomba hiyo linkKuna mtu humu anaitwa De Pond alitoa makala/simulizi moja matata Sana akihusianisha tukio Hilo.... Mpaka Sasa huwa natafakari bandiko lake lile.... Linatafakarisha Sana..
Jamaa inaonekana anasumbuliwa sana na unyonge/Umasikini wa kwao huko kusini, hapo ukijaribu kusema shule za kusini ndiyo zimeshika mkia kwenye matokeo ya form two lazima awake kwa hasira!!Da jamaa anachekeshs jinsi alivyo panic, kumbe haelewi kitu,
Sidhani kama atarudi tena
AustriaKwani alikuwa declared kama persona non grata
huko Australia!?
Abake na kufukuzwa Austria halafu aje achomewe Handeni? Mkuu tuheshimu taha kidogo basi.Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.
Naomba kuwasilisha.
Bandiko liko humu... Nikilipata nitakupa link....Naomba hiyo link
[emoji38][emoji38][emoji38]Najiuliza tu maelezo ya Mkuu wa Wilaya, anadai gari lililokuwa limebeba makaa ya mawe, hivi hayo makaa ya mawe yalikuwa yanasafirishwa kwenda wapi? Je Waandishi wameona hilo gari la makaa ya mawe?
Kingine anadai dereva wa gari kubwa aliumia japo si saana, lakini baadae akaruhusiwa aende akajitibie hospitali kubwa baada ya kuanza kutapika damu kidogo.
Hivi hospitali ya Handeni haiwezi tibu mtu anae tapika damu kidogo? Dereva alikuwa ana traffic case, iweje mmruhusu bila kufuata taratibu kupata maelezo yake na kuwa chini ya ulinzi?
Hata msaidizi wa dereve hatujaelezwa alikuwa nani na jina la huyo dreva kama ilivyo katika ajali nyingine.
Waandishi wa habari wafuatilie kujua alipo dereva wa gari kubwa lililogongana na gari ya balozi, na waihoji serikali, daktari wa Handeni, na polisi ni vipi dereva wa gari hilo kubwa ati kuruhusiwa kwenda kupata matibabu zaidi bila taratibu za kipolisi, na hospitali walishindwa nini kumtibia?
Hospitali ya wilaya ya Handeni ni kubwa haiwezi shindwa mtibu mtu anaeanza tapika damu. Huyu Dreva na msaidizi wake wajulikane tafadhali!
Mkuu wa wilaya kawa msemaji wa Polisi, Msemaji wa Daktari, ndo maana hajatoa habari kamili kwa umma, jina la dereva, yupo wapi, na nini kinafanyika kwa mujibu wa sheria juu ya ajali iliyotokea. Ni kama vile balozi kafa basi kwisha habari yake, serikali haina muda.
Yule wamemdedisha wakubwa.
Mbinu iliyotumika kuficha mauaji ni ya kifala Sana hata mtoto wa darasa la pili hawezi kukubali kifo hiki
Noma sana!Mbinu iliyotumika kuficha mauaji ni ya kifala Sana hata mtoto wa darasa la pili hawezi kukubali kifo hiki