Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!

Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.
si wanasema walikuta mzinga wa nyagi kwa gari yake..upo robo.
 
Mbona nadharia nyingi zilishaongelewa na mjadala ukafunikwa chini ya carpet. Mtoa mada imekuwaje ghafla umezuka nao tena?

Jana na leo hot topic ni Diwani Athumani, hii ya kwako isha expire unless una nadharia mpya tofauti na zile zile tulizozisikia karibia wiki 2 nzima.
 
Vipi unashindwa kuunganisha doti, au kuelewa anavyounganisha mwenzio kati ya hili lako na lile la Balozi?
 
Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!

Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.
"Njia ile ambayo siyo ya kusini" una maana gani? Ukiitwa we ni mkabila mpumbavu nakosea? Kwani ukijenga hoja bila kuchomekea upuuzi km huu ujumbe wako hauwezi kueleweka? Njia za kusini zina nini, we kujsini umefika sehemu gani. Kusini wapi we dondocha! Nafahamu kabila lakoili nisionekane mpuuzi km wewe sintaitaja.
 
Uchunguzi gani tena ?
Mashahidi wapo wa kutosha na sio waendesha bodaboda, ni watu na nyadhifa zao za kiuteuzi.
Detective corporal atamhoji OCD au RPC au RC au DC?
Ile ilikua ajali in black and while.
Case closed.
Huyo balozi apige pombe zake serikali ipoteze muda na rasilimali zingine zikiwepo fedha zake kwanini? Yule alilewa akiwa na stress zake akaamua kuendesha usiku. Acheni uzwazwa.
 
Mbona nadharia nyingi zilishaongelewa na mjadala ukafunikwa chini ya carpet. Mtoa mada imekuwaje ghafla umezuka nao tena?

Jana na leo hot topic ni Diwani Athumani, hii ya kwako isha expire unless una nadharia mpya tofauti na zile zile tulizozisikia karibia wiki 2 nzima.
Hii ya diwani ni muendelezo .episode ya kifo cha balozi wetu kule Switzerland chenya utata , balozi hoyce Temu kule UN Geneva na Prof. Kennedy Gaston kule UN New York.
 
"Njia ile ambayo siyo ya kusini" una maana gani? Ukiitwa we ni mkabila mpumbavu nakosea? Kwani ukijenga hoja bila kuchomekea upuuzi km huu ujumbe wako hauwezi kueleweka? Njia za kusini zina nini, we kujsini umefika sehemu gani. Kusini wapi we dondocha! Nafahamu kabila lakoili nisionekane mpuuzi km wewe sintaitaja.
Tulia acha panic
 
Huyu kafa kutokana na uzembe wake

Kwani alikatazwa kumkodi dereva ampeleke huko,

Kodi dereva we kaa pembeni piga mtungi tani yako

Ova
 
Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!

Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.

the matrix broh
 
Hizo pombe ulimnunulia wewe kwenye bar yako?
Alikutwa nazo, km huna taarifa sahihi si unyamaze kuna mtu anakulazimisha kutuletea huu upoyoyo? Unawashwa na nini. Hata hivyo ana umuhimu gani kiasi hicho ilhali ajali hutokea siku zote? km ni ndugu yako kaanzishe uchunguzi wako binafsi
 
Back
Top Bottom