nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
hao kamati ya ulinzi walifikaje usiku huo?? ili hali ni ajali ya kawaida tuu???..bado sijashawishika kwamba alitengenezewa ajali.
..naamini ni ajali ya kawaida ambayo ingeweza kumtokea mtu yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao kamati ya ulinzi walifikaje usiku huo?? ili hali ni ajali ya kawaida tuu???..bado sijashawishika kwamba alitengenezewa ajali.
..naamini ni ajali ya kawaida ambayo ingeweza kumtokea mtu yeyote.
Labda kwa kifupi, mtu akifa na kesi inakufa.
Kama ni mtu mwenya kaliba hiyo,kufanya uamuzi wa kuondoka usiku inawezekana,pia inawezekana gari ya karibu ambayo aliipata na aliona angeweza kukimbia mara moja usiku ule na kurudi haraka ilikuwa ni hiyo.Angalizo kama hakupata muda wa kupumzika mchana kutwa na usiku akaanza safari ni jambo la hatari sana,nina uzoefu wa kusafiri usiku,inaweza kutokea sekunde chache tu ukapitiwa na usingizi hiyo tayari ni ajali,ndio maana huwezi kumshauri dereva wa lori kuendesha gari akiwa hajapumzika,yuko radhi hata kupaki porini ili tu akate usingizi then aanze safari...Nimefanya kazi na Balozi Mushi, ni msela flan hivi na mtu anayejiamini sana, kuendesha gari mwenyewe ni kitu anachoweza kufanya, lakini kwanini Usiku? Kwanini Crown?
Something fishy!
Mbona wauliza dadaHivi wewe ndio Upo na kule twitter kwa jina hili la jf?
Hata mimi najiuliza Mbona Britanicca wa hapa ana akili kuzidi wa Twitter?Hivi wewe ndio Upo na kule twitter kwa jina hili la jf?
Nataka nijue tuMbona wauliza dada
Umeanza uchokoziHata mimi najiuliza Mbona Britanicca wa hapa ana akili kuzidi wa Twitter?
Tunachokijua:[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.
Naomba kuwasilisha.
Tunashukuru kuwa na social medias siku hizi. Tungelishwa matango pori kweri kweri Kama tungekuwa tunategemea taarifa kutoka hawa vilaza waandishi wa habari wa bongo.Hakuna waandishi siku hizi
Waandishi wengi wao ni udakuudaku tu,wapz kabisa
Ova
Hiyo " TUNACHOKIJUA " Waulizwe wenyewe wakubwa wa JF walikoitoa , mimi sihusiki nayoTunachokijua:[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hatari sana hawa jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo " TUNACHOKIJUA " Waulizwe wenyewe wakubwa wa JF walikoitoa , mimi sihusiki nayo
Kila uzi hiyo kitu inachomekwa , hata sijui inatokana na niniHatari sana hawa jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli umeongea vizuriKama ni mtu mwenya kaliba hiyo,kufanya uamuzi wa kuondoka usiku inawezekana,pia inawezekana gari ya karibu ambayo aliipata na aliona angeweza kukimbia mara moja usiku ule na kurudi haraka ilikuwa ni hiyo.Angalizo kama hakupata muda wa kupumzika mchana kutwa na usiku akaanza safari ni jambo la hatari sana,nina uzoefu wa kusafiri usiku,inaweza kutokea sekunde chache tu ukapitiwa na usingizi hiyo tayari ni ajali,ndio maana huwezi kumshauri dereva wa lori kuendesha gari akiwa hajapumzika,yuko radhi hata kupaki porini ili tu akate usingizi then aanze safari...
Askari walifika eneo la tukio usiku huo, baada ya kama 15 hivi ajali kutokeahao kamati ya ulinzi walifikaje usiku huo?? ili hali ni ajali ya kawaida tuu???
Kwa nini alizimwaga baharini?Naibu RAS Mtwara, Magu alimpa adhabu ya kusimamia zoezi la kunyang'anya Wakulima korosho na kisha kuzimwaga baharini, ni kitu Balozi Mushi alikuwa akiumizwa nacho moyoni nadhani hadi mauti yake yanamfika, nimesikitika sana....highly intelligent, humble & outgoing personality[emoji24][emoji24][emoji24]
Habari za tajiri muulize mlala hoi/mchovuWana jf bana [emoji1][emoji1][emoji1]
Wacha weeee !!!Na Balozi Mushy alikuwa ni jasusi la kufa mtu, nilikaa naye siku 10 ilikuwa kama nimekaa University miaka 7
Hahaaahaaahaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Ww ni pumbav. Nishasema nipo bar nimelewa. Someni neno kwa neno kumamake