Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

Ni miezi ambayo safari zinakuwa nyingi zaidi na hivyo ajali zinaongezeka zaidi kwa sababu zile zile ambazo zinasababisha ajali katika miezi mingine.
Kuanzia September to December ndiyo miezi ya vifo vingi Kwa pamoja hii ni miezi ya vita kwenye ulimwengu wa roho shetani anataka kukamilisha idadi yake na MUNGU anataka kulinda watu wake
 
Poleni wafiwa wote..Na majeruhi mpate nafuu haraka.
 
Waziri wa mambo ya ndani ana tamba asali tu yaani ata kutoa pole kwa wafiwa daa Tutakukumbuka kwa mazuri si kwa mabaya" leo hii ingekuwepo naamini ungekula kichwa cha Masauni ili aende kula urojo.
 
Kuanzia September to December ndiyo miezi ya vifo vingi Kwa pamoja hii ni miezi ya vita kwenye ulimwengu wa roho shetani anataka kukamilisha idadi yake na MUNGU anataka kulinda watu wake
Mamlaka zikisimamia vizuri hakuna ajali zinaweza tokea kama tulivyokariri. Nakumbuka miaka mitano nyuma hizi ajali za mwisho wa mwaka tulishazisahau. Mara nyingi hizi ajali chanzo chake ni uzembe hasa mwendokasi ni vyema polisi wa barabarani wakaongezwa kipindi hiki tena ikiwezekana wabafilishiwe vituo kuepuka mazea dereva asiyefuata sheria hatua kali zimshukie.
 
Mkuu na mipango ya mungu pia
 
Kuanzia September to December ndiyo miezi ya vifo vingi Kwa pamoja hii ni miezi ya vita kwenye ulimwengu wa roho shetani anataka kukamilisha idadi yake na MUNGU anataka kulinda watu wake

Ulaya nako no hivyo hivyo, ajali zinatokea miezi hiyo.

tuache mawazo haya tuanze kutumia akili kutatua matatizo yetu.
 
Mungu atupe wepesi kwakweli
 
Ajali Haina Kinga lakini sijawahi kupenda kukaa siti za mbele kwenye bus
 
Kuanzia September to December ndiyo miezi ya vifo vingi Kwa pamoja hii ni miezi ya vita kwenye ulimwengu wa roho shetani anataka kukamilisha idadi yake na MUNGU anataka kulinda watu wake
Kwa maoni yako haya ina maana shetani huwa anamzidi Mungu nguvu?
 
Sasa mkuu unawahi wapi...si ungekusanya habari kamili ndipo upost...kwani wanakukimbiza ndugu yangu? Ungesaidia kuokoa majeruhi na kutoa msada stahiki then uje huku utujuze wenzio.
Hata kapicha hakuna
Amesema tusubiri taarifa kutoka mamlaka za dola. Dunia ya tatu raia tumepikwa kutumainia taarifa za mamlaka.

Elimu ya uraia zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…