Ajali ya Basi la Kaprikoni - Hedaru Same Kilimanjaro muda huu

Ajali ya Basi la Kaprikoni - Hedaru Same Kilimanjaro muda huu

Hayo maeneo barabara imenyooka sana sijui ijali zinatokana na nini
 
Tujuze zaidi.

Maana wenye mabasi na askari wachache huwa wana-collude kutotoa taarifa sahihi kwa Umma
 
Mabasi ambayo huwa yanaingia Dar yakwanza kila siku yanajulikana Na yanashindana njiani.
 
Hv madereva kwenye kozi zao hufundishwa kukimbia msala?
 
Back
Top Bottom