Ajali ya Basi la Kaprikoni - Hedaru Same Kilimanjaro muda huu

Hayo maeneo barabara imenyooka sana sijui ijali zinatokana na nini
 
Tujuze zaidi.

Maana wenye mabasi na askari wachache huwa wana-collude kutotoa taarifa sahihi kwa Umma
 
Poleni Sana Sana
December Hii Nayo
 
Mabasi ambayo huwa yanaingia Dar yakwanza kila siku yanajulikana Na yanashindana njiani.
 
Kama dereva wa basi yupo eneo la tukio, itakuwa kosa la dereva wa lori
 
Hv madereva kwenye kozi zao hufundishwa kukimbia msala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…