Tetesi: Ajali ya basi la Kimotco linalofanya safari kati ya Arusha - Mwanza

Nimetumiwa ujumbe na mtu anaedai amesafiri na binti yangu leo na gari imeoata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda.
Nampigia simu mhusika hapokei tena,

Mwenye taarifa zaidi?
Pole mkuu tafuta mtu aliepo marneo tajwa yan babati ndo anaweza kukupa taarga vizur au kamanda wa usalama barabarani wilaya ya babati.
 
Dareda Kuna hospitali gani pale? Labda wapandishe kule kitu cha Afya cha masista
 
Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda.

Nampigia simu mhusika hapokei tena,

Mwenye taarifa zaidi?

Poleni. Mola apishie mbali mabaya yote.
 
Nilisikia Jana kiazi kitamu ndio akipata ajali. Ngoja niendelee kufuatilia.
 
Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda.

Nampigia simu mhusika hapokei tena,

Mwenye taarifa zaidi?
Hifadhi namba ya huyo mtu isijekuwa pia kampanga Binti Yako akamgegede.

Kimotco Bus Office Contact Number For Enquiry
Head Office Arusha:
0717517785
0783 263 931

For booking call 0685205485
Screenshot_20230324-135008364.png
 
Hifadhi namba ya huyo mtu isijekuwa pia kampanga Binti Yako akamgegede.

Kimotco Bus Office Contact Number For Enquiry
Head Office Arusha:
0717517785
0783 263 931

For booking call 0685205485
View attachment 2563797
Asanteni kwa dua zenu wakuu,

Taarifa niliyoipata ni kuwa basi limepata ajali maeneo ya Dareda Manyara mida ya sa tatu.
Limepinduka lakini hakuna kifo kilichoripotiwa hadi sasa.
Kuna majeruhi kadhaa waliopelekwa ktk hospitali ya misheni Dareda.

Binti yangu miongoni mwa ambao hawakupata majeraha ya kuwasababisha kutibiwa hosptali, namshukuru Mungu kwa hilo, nusu saa iliyopita alinijulisha kuwa wamepata basi la kuwafaulisha na walikuwa wamefika hospitali kuwachukua waliokuwa na nafuu ili waendelee na safari.

Mungu kawanusuru kwa kiasi kikubwa japo gari imepinduka ubavu.
(Ni hiyo iliyoandikwa Koffi Annan) kny link hapo juu kwa brazaj)
 
Mkuu atukuzwe Mola maana masekeseke ya ajali hayana bouncer.
 
Back
Top Bottom