Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
wewe hujamuelewa.....Hivi Mwakyembea mbona muongo hivi huyu Mbunge? Leo anadai alisema toka awali hii ni ajali, na hiki nini:
hio ndio kauli yake ya kwanza......wewe umerukia kauli yake ya pili``...Mimi ni Mkisto, nimemuachia Mungu hayo, nimesema Mungu....
uwe unaelewa mkuu..kama hiyo, kilichotokea leo, ni binadamu alikipanga basi namshitakia yeye, na kama kilichotokea ni ajali, basi tumuachie Mungu.
Wataalamu wa saikolojia ya utetezi wanasisitiza ukweli(plain truth) huwa ni short, simple and clear, Utetezi wa Dr ulivyo mrefu na maswali mengi yanayothibitisha ubobeaji wake kwenye taaluma ya sheria na uandishi wa kiuandishi wa habari, kunapelekea wenye busara kutilia mashaka na kujiuliza, "kunani?".
Ukweli plain truth ni short, simple na clear na direct to the point, kama Masia alivyosulubishwa bila kosa lolotePasco, what would have been your version of "...short, simple and clear..."?
Mimi si mtaalamu wa taaluma ya sheria na uandishi wa Dr. Mwakyembe (na saikolojia ya utetezi imenipita kushoto) hivyo nakubali maelezo yake kwa jinsi alivyoyatoa bila kujiuliza "kunani?" kwa sababu moja kuu: Alikuwapo kwenye ajali inayomhusu yeye.
Si ameingia katika siasa mwenyewe ? Si alitaka uwaziri mkuu huyu baada ya mwandosya kushinda uraisi kama angepata ? Si ndio huyu huyu alimtibua sana kikwete wakati yuko katika mchakato kule dodoma si anajua siasa mchezo mchafu ?
- Shujaa wangu Mwakyembe, achana na haya malumbano lumbano yasiyo na faida,rudi kwenye ku-focus na ishu muhimu za taifa kama zamani ulivyokuwa,
- Hivi nyinyi mlio karibu naye mmegundua kuwa ni muda mrefu sana sasa mafisadi wamemuondoa kwenye focus ya taifa na kumuweka kwenye ulingo wa kuji-defend defend tu all the time kwa muda mrefu sasa, please Mwakyembe next press release au Conf. iwe ya kumkoma nyani waambie likizo imeisha,
- Ninakuombea kwa Mungu upone haraka, lakini please usijibishane tena na mafisadi maana katika miezi sita iliyopita umeruhusu mafisadi kukupangia agenda za kujitetea tetea bila ya ishu muhimu kwa taifa, please wake up DK yanayokutoea sio bahati mbaya wala amri ya Mungu, ni amri ya mafisadi sasa it is about time ukawatandika where it hurts the most kama ulivyofanya bungeni siku ile na kuwakimbiza mafisadi watatu kwa mpigo, that was wasup! Sio hizi blah! blah! na yada! yada!
- Hit them back na ufisadi wao, si kuna mengine hukusema bungeni yamwage sasa unaona faida ya kuwaonea huruma wao hawana huruma hao mafisadi! na sasa hivi you are where they want you to be! yaani on defensive! Wangu ni ushauri wa bure tu!
Mungu Aibariki Tanzania na Akubariki Upone Sasa.
FMES!
chenge ndio alikuwa dereva, sasa sijui unamaanisha dereva gani?Chenge alipopata ajali dereva (chenge) alipelekwa eneo la tukio na kutoa maelezo au kusaidia uchunguzi wa chanzo cha ajali. Mbona dereva wa Mwakyembe hakupelekwa eneo la ajali??? HII SIO DOUBLE STD KWELI????????????????
- Hit them back na ufisadi wao, si kuna mengine hukusema bungeni yamwage sasa unaona faida ya kuwaonea huruma wao hawana huruma hao mafisadi! na sasa hivi you are where they want you to be! yaani on defensive!
Mwakyembe leo alalamikia ``natural justice``? Mwakyembe? Huyu mwalimu wa wanafiki alimhoji Lowassa?OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA KYELAKwa kuwa sheria za nchi zinataka vyombo vya kiutawala vya maamuzi (quasi-judicial bodies) vizingatie kanuni za haki za asili (principles of natural justice), ni nini kiliizuia Kamati hiyo maalum kunihoji mimi na dereva wangu ili kukidhi matakwa ya kanuni za haki za asili na kupata picha iliyo kamilifu zaidi ya ajali hiyo? Laiti mimi na dereva wangu tungelisikilizwa...
``Mheshimiwa Dk. Mwakyembe ni Mwanasheria, tena Daktari alikuwa anafundisha Chuo Kikuu. Moja ya vitu alivyokuwa anafundisha ni "Natural Justice".
Mheshimiwa Spika, wewe ni Mwanasheria unafahamu suala la Natural Justice. Kwamba Kamati Teule imesikiliza watu wengine wote pamoja na wanaoita minong'ono ya mitaani, wamesafiri mpaka Marekani kutafuta mashahidi, lakini mimi ambaye ni mmoja kati ya watuhumiwa mle hawakunihoji hata siku moja.
Mheshimiwa Spika, nimesimama kueleza masikitiko yangu. Ofisi ya Bunge mpaka ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo.
Hawa ni watu makini sana siwezi kuamini kwamba wanaweza wakafanya oversite kama hiyo. Kulikuwa na shida gani kuja kuniuliza Waziri Mkuu wanasema uliotoa dokezo hili ni sawa sawa kweli?
… Hapa ndipo tunategemea tuwaonyeshe umakini wetu, umahiri wetu katika mambo ya demokrasia. Kwa nhiyo nilichofanyiwa napenda kuweka kumbukumbu sawa kwamba naona si sahihi, nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana katika hili.
Maana zimechukuliwa tuhuma zikaelezwa hapa kwamba hivi ndivyo ilivyo. Mimi sijaulizwa. Kulikuwa na shida gani kuniuliza, kwa nini muamini minong'ono ya mitaani kuliko maelezo yangu. …Hatuwezi, Tume imepewa muda wa kutosha lakini inashindwa kumuona mtu ambaye wanamtuhumu...``