Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
KIKWETE HAKUJUI MBEYA WALA HAKUMHUSU,
HALI KADHALIKA WANANCHI WA MBEYA HAWAMJUI KIKWETE NA WALA HAWAHUSU.....
MAHUSIANO YA BWANA MKUBWA NA WATU WA KANDA HIYO YA CHINI MAGHARIBI NI MBAYA.....
HAMNA HAJA YA VISASI.
UJENZI WA BARABARA KUTOKA SUMBAWANGA HADI MBEYA, NA MAREKEBISHO MAKUBWA KWENYE BARABARA YA KUANZIA MBEYA HADI MIKUMI NI MUHIMU SANA KWA TAIFA LETU....
HAWA JAMAA TUNAO WAACHA NA BARABARA YAO MBOVU NDIO WANAOLISHA NCHI...
TUWAHESHIMU KWA KILE WANACHO TUSETIRI NACHO
1.
2. Ule uwanja wa Songwe ukiwa tayari sioni haja ya kusafiri kwa gari ndogo toka Mbeya hadi Dar..ni mbali sana..na ni cheaper na salama zaidi kutumia ndege!
Wakulu,
Kwanza naombautoa pole kwa wale wote waliopata Ajali bila kuangalia huyu ni nani,hapa wote tumekaa kuangalia Mwakyembe peke yake na hatuangalia Dereva ana khali gani.,Hii ni tabia ambayo tumerithishwa na CCM,ubinafsi na ndiyo inatufanya tuwe hapa kila siku
Tunathamini wale wenye majina tu,yaani ni bora mtu amsikini aliyeko sehemu flani afe ila mwingine apone na ndiyo maana ukeienda Hospital Bombo au sehemu za starehe na ukiwa umeongozana na Pedeshee au Mkuu yoyote wata ku-skip..
anyway Bongo yetu
Wenye Taarifa Derve anaendeleaje?Je kuna wengine wlaiokuwapo katika hiyo Gari?
Kama wewe ni mzalendo halisi usingezungumzia ndege. Labda unatania. Mzalendo halisi anasikia tu mlio wa ndege. Halafu unasema "cheaper", kweli? Mwanza ni mbali zaidi kuliko Mbeya kutokea Dar. Je, ni wangapi wanapanda ndege kwenda Mwanza. Je, unadhani hawapendi kuwahi kufika na kuwa salama? Linganisha na mabasi yanayoondoka kila siku kwenda Mwanza. Pole Mwakyembe.
Ndo maana sipendi kuwa mwanasiasa kwani nitawaachia majonzi familia yangu kabla ya wakati...
Mungu ampe afya na apone mapema
Wewe uliyedokeza kwamba ni Rostam anahusika, ulidhani mazuri hayo kuyasema?
Na wengine waanze ku speculate kwamba alikuwa anakimbiza gari maporini huko, sawa? Au tuanze ku speculate kwamba kalewa huku anaendesha?
Ajali wapate kunguru, akipata njiwa njama!
Rostam atoa salamu za pole kwa mwakyembe tbc
hii ni ajali na aliyepata ajali ni MTANZANIA MWENZETU, BINADAMU MWENZETU lakini pia ni KIONGOZI katika nji hii, tumuombee apone na kumtakia afya njema...harakati zake katika kupigania usawa na kuupinga ufisadi nchini wengi tunaziunga mkono ndio maana wengine wamesema we need him now than ever...inabidi asaidiwe maana hawezi kufanya kazi peke yake..hata wazo la kuangalia usalama wake hapo alipo ni la muhimu....teh teh teh..olalalalala..umeangukia pua.
Wapinga ufisadi wote hawapaswi kupata ajali, kuugua, kuandikwa vibaya, kukosolewa,.... na ikitokea hayo mabalaa yakawakuta, mafisadi waandamwe, walaaniwe,...Hebu tukuekue kidogo WATANZANIA wenzangu.
Haiwezi kuwa imetoka moyoni, huo ni unafiki tu wa RA kama kweli ametuma hizo salam za pole.
Halafu hawa TBC wanavibweka. Kwanini wamtafute RA ili atume salam?mbona wasimtafute Selelii au Anna Malecela? Mi nadhani ile nguvu aliyoitumia kupata kipindi maalum kumjibu mzee Mengi bado imewalevya tbc ya Dunstan Tido Mhando.
Jamani haya ya RA yaacheni kuna watu wako kazini wanalipwa kwa kumtetea. watawapasua vichwa buree!!Kwa hiyo wewe ndio advocate wa RA?
Inasemekana Dr. Mwakyembe ameumia kidevu ila ana nafuu, gari lake limeharibika vibaya. Je walikuwa wangapi kwenye gari? Mungu amsaidie na dereva wake ambaye pia nasikia kaumia.
Mambo mengine yanasikitisha sana!
Ajali imetokea maeneo ya Ifunda ambayo ni mji kabla ya kufika njia panda ya kwenda Iringa mjini.
watu wengine humu ndani na nyie mtapata ajali, kwani hamjui kwamba RA ndiye Mwenye Nchi?