Dilunga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2009
- 679
- 52
Hata ulevi, na hata uasherati kama hujaoa, ni haki ya mtu yeyoto yule. Je kila haki ni responsible kui exercise?ku entertain wazo ni haki ya mtu yeyote.
Hiyo ni hoja ya Halisi. Ya kwangu ni kwamba Mwakyembe ametumia hiyo ``haki`` kuropoka vitu irresponsibly.Hoja ya Halisi ni kuwa hakuna mahali popote ambapo Mwakyembe alisema (kudai factually) kuwa kuna mtu alipanga ajali hiyo.
Alichokisema ndicho nimenukuu neno kwa neno. Na unajua fika ndivyo alivyoongea akiwa hospitali.... nukuu yako umeacha the preceding conditional clause na kuweka maneno ambayo yanadai kana kwamba ni ukweli. Huku ni kujaribu kumfanya mtu aseme kitu ambacho hakukisema. Wakati mwingine nukuu kauli nzima kama ulivyoona...
Ku entertain mawazo mabaya pia ni kubaya. Larry Summers alifukuzwa Ukuu Harvard kwa kuitisha kongamano kujadili, kuwaza tu, kama wanawake hawawezi hesabu kimaumbile. Akaambiwa ame entertain mawazo potofu.Kusema "alientertain wazo" halijibu swali kwani wengi tuna entertain mawazo ya ajabu sana!! Ndiyo maana tunaitwa wanadamu.
Mwakyembe hakutakiwa ku entertain na kuropoka nadharia za njama, ni irresponsible. Alichokisema kinatisha:
Mh. Mwakyembe:
``...Mimi ni Mkisto, nimemuachia Mungu hayo, nimesema Mungu kama hiyo, kilichotokea leo, ni binadamu alikipanga basi namshitakia yeye, na kama kilichotokea ni ajali, basi tumuachie Mungu. Lakini kama kilichotekia kilipangawa basi huyo aliyepangwa kufanya hivyo ni mtaalam wa hali ya juu sana maana jinsi alivyoigonga ile gari, kupoteza mwelekeo, mimi kwa kweli nimeiona hiyo, hayo matukio, kwenye sinema tu.``