Mbuna Senior
Member
- Aug 2, 2016
- 55
- 125
Habari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.