Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana wanalipwa chini ya kima cha chini?Hilo ni la kweli kabisa, na wamemtia hasara kubwa sana, na sio Tz, tu huko zambia kwenye kiwanda chake kilichopo ndola, ndio ilikuwa balaa vijana wamekufa sana kutokana na ajari, hadi serikali ya zambia ilibidi kuingilia kati, na kubaini tatizo ni madreva kutokuwa na sifa zinazotakiwa.Tatizo lake ni manyanyaso kwa madreva na ujira mdogo, hivyo wanaokubali wengi ni wale ambao hawana sifa sehemu nyingine!!angalia makampuni kama ya bakhresa, prime fuel, mount meru, alli star, kwanza dreva tu ukimuangalia anajielewa, nenda dangote, dreva amevua shati ni vulugu tupu, gari kama la vitani!!
Ni kweli na kwenye hayo magari kuna Kampuni ya Wahindi ndio ameingia nao mkataba ambayo hayafanyiwi service ya uhakika, ya kwake kabisa ni machache.Dangote hana hasara maana BIMA watalipa
Aisee !! Wawap huyo
BerraImetokea usiku unaripoti leo mchana
Naskia jamaa kwenye kiwanda chake ukienda kuomba kazi ya udereva huulizwi cheti wala kupimwa uzoefu, unapewa ndinga tu ukafie mbele!
Nafikiri kuna jambo si la kawaida kwa DangoteHabari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
Inamaana wanalipwa chini ya kima cha chini?
Hapana ni wamatumbi wenzetu tu, ila ni vurugu tupu, utafikiria wanaendesha matrekta polini huko!!Hao drivers ni ametoa Nigeria au...
Jana na leo ajali kampuni hiyo hiyo...?
Shida kubwa ya Dangote industries ni kuwa ameweka sub contractors wahindi.Madereva wa hicho kiwanda walikuwa na mgomo sasa sijui kama unaendelea kimya kimya
Unakuta dreva mshahara analipwa laki 2, na mileage kulingana na umbali wa safari, tatizo liko kwenye mafuta, unakuta huo mshahara una kuwa ni jina tu, kwani kila safari unatakiwa kutumia kiwango fulani cha mafuta, ndio unayopewa na kampuni, sasa yasipokufikisha tena kiwandani hilo ni lako utakatwa kwenye mshahara wako!!,yaani kiwango cha mafuta kwa safari yamepunguzwa mno!! kwani magari hayana service!!yaani mwenye gari jipya anapewa mafuta sawa na mwenye mkweche!!kingine ni muda wa safari wanaotakiwa kuwa wamerudi kiwandani, makampuni mengine gari zao ikifika saa 12, jioni paki gari , lakini dangote ni msuli wako dreva, hivyo inawalazimu kuendesha muda mrefu ili kuwahi muda aliopewa!!unakuta gari halina taa usiku wanafunga tochi mbele kuna nini hapo?Shida kubwa ya Dangote industries ni kuwa ameweka sub contractors wahindi.
Wanachoangalia wao ni maslahi yao tu .
Hayo Magari yapo kila barabara hapa nchiniDuuh haya magari ya Dangote vp?
kiongozi unaongea kitu unachokifahamu aisee!Hilo ni la kweli kabisa, na wamemtia hasara kubwa sana, na sio Tz, tu huko zambia kwenye kiwanda chake kilichopo ndola, ndio ilikuwa balaa vijana wamekufa sana kutokana na ajari, hadi serikali ya zambia ilibidi kuingilia kati, na kubaini tatizo ni madreva kutokuwa na sifa zinazotakiwa.Tatizo lake ni manyanyaso kwa madreva na ujira mdogo, hivyo wanaokubali wengi ni wale ambao hawana sifa sehemu nyingine!!angalia makampuni kama ya bakhresa, prime fuel, mount meru, alli star, kwanza dreva tu ukimuangalia anajielewa, nenda dangote, dreva amevua shati ni vulugu tupu, gari kama la vitani!!
Wale sio madreva ni wahuni tupu!!yaani wale madreva wa daladala za ucku, kwa dar, ndio hao wanoendesha magari ya dangote!!nashangaa sijui ni kwanini serikali isijaribu kuliangalia hili kwenye hiyo kampuni!!kiongozi unaongea kitu unachokifahamu aisee!
kuna siku nilikuwa kijiji flani cha mchinga nikipata supu ya pweza. mara lilitokea lori la dangote na kupaki pembeni, aisee lilishuka vuta bangi moja hilooo, nilibaki kinywa wazi kwa mshangao. ni kijana mdogo tu, amevaa lishati likuuubwa (yale tukiyoyaita 'dog dog' kipindi kile) na likofia moja kubwa kweli. huko kutembea sasa; alikuwa anaswing flani hivi.....baada ya hatua kadhaa akalitoa lile likofia (lilifunika kila kitu kichwa chote hadi masikio) na kutuwezesha kuona rasta zake nyingi na ndefu sana huku akizitikisa kwa kutingisha kichwa chake km mzungu flani hv mwenyewe. nyuma yake alimfuatia kijana mwenzake aliyeshuka nae humo kwenye gari mwenye haiba km yake. tulishangaa na kusikitika sana.
hii njia ya mtwara - dar, ajali zinazohusisha gari za dangote zinashuhudiwa kila siku
Dah, basi Dangote bado hajapata management nzuri.Hilo ni la kweli kabisa, na wamemtia hasara kubwa sana, na sio Tz, tu huko zambia kwenye kiwanda chake kilichopo ndola, ndio ilikuwa balaa vijana wamekufa sana kutokana na ajari, hadi serikali ya zambia ilibidi kuingilia kati, na kubaini tatizo ni madreva kutokuwa na sifa zinazotakiwa.Tatizo lake ni manyanyaso kwa madreva na ujira mdogo, hivyo wanaokubali wengi ni wale ambao hawana sifa sehemu nyingine!!angalia makampuni kama ya bakhresa, prime fuel, mount meru, alli star, kwanza dreva tu ukimuangalia anajielewa, nenda dangote, dreva amevua shati ni vulugu tupu, gari kama la vitani!!
Mtu aliyeajiriwa ili afanye kazi ya kuajiri watu huwa hana uchungu na mali.Kwamba wao wanapenda sana kuharibu mali zao sio?
mbona mi sijapata hapo kwa dangote?Hilo ni la kweli kabisa, na wamemtia hasara kubwa sana, na sio Tz, tu huko zambia kwenye kiwanda chake kilichopo ndola, ndio ilikuwa balaa vijana wamekufa sana kutokana na ajari, hadi serikali ya zambia ilibidi kuingilia kati, na kubaini tatizo ni madreva kutokuwa na sifa zinazotakiwa.Tatizo lake ni manyanyaso kwa madreva na ujira mdogo, hivyo wanaokubali wengi ni wale ambao hawana sifa sehemu nyingine!!angalia makampuni kama ya bakhresa, prime fuel, mount meru, alli star, kwanza dreva tu ukimuangalia anajielewa, nenda dangote, dreva amevua shati ni vulugu tupu, gari kama la vitani!!